Unaumia roho bure na unaonyesha ni msaliti siasa za kufuata mtu ni mbaya CDM ni chama cha kibepari kinachofuta mlengo wa kati ungejua hili usingeumia cha msingi ni uaminifu. Tutawapa kura tu we mfuate Slaa tuone mwishowenu.
Mkuu hamna kitu hapo heri malofa wanaweza changia mabadiliko nchini kuliko hao wasomi. Kwenye uzi wako juu ya watumishi wa umma nadhani umejionea. Mwezako nipo kijijini kusihi wanakijiji wenzangu hawaniangushi. R.I.P TANU.
Vp mmesha washugulikia wezi wa escrow, epa, richmond, meremeta nk au mmekalia porojo tendeni au ndio mnajifunza kuwa wapinzani maana hamna jinsi, CHADEMA asili leo wamekuwa lulu. washaziba masikio hao ni mpaka magogoni ndio watakuja kuwasikia.
Sera au porojo? lazima nifanye kweli nimechoka kuchangia Mwenge wakati mshahara wangu mdogo, kupata promotion mpaka kudra za Mungu. Nasisitiza nitafanya kweli sirudi nyuma.
Una malaria sugu. Tumepoteza bei gani kwa skendo ya escrow, Kiwira, EPA nk leo unaona tatizo ni LOWASA tu? kiufupi tutamchagua na kamwe haturudi nyuma.
Karibu, nategemea mchango mzuri kwa hali ya siasa ilipofikia nchini mwetu. Wazalendo wa kweli ujua mustakabali wa nchi yao na si kujifanya eti siasa ni ujinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.