Recent content by Mumewangu19

  1. M

    JamiiForums Tanzania Customizing payment voucher-online Quickbook

    shukran@Mwl.RCT kwa maelezo.nimejaribu kutumia chatgpt lakini sijafanikiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Customizing payment voucher-online Quickbook

    Habarini wakuu, Naomba msaada wa kuweza kuicustomize payment voucher(PV) kwenye mfumo wa online Quick Book kwa kuweka fields" prepared by,reviewed by na authorized by". Natanguliza shukran kwa msaada mtakaonipatia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Master course in monitoring and evaluation

    Shukran
  4. M

    JamiiForums Tanzania Master course in monitoring and evaluation

    Mkuu,shukran kwa msaada.naomba ushauri,baada ya kumaliza master ya hii kozi with no work experience,wapi nianzie
  5. M

    JamiiForums Tanzania Master course in monitoring and evaluation

    Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course zikoje. Natanguliza shukran kwa mwanga mtakaonipatia.
Back
Top Bottom