china wana apply mixed economy(which is more capitalist than socialist) wao wenyew ujamaa wao ulifeli na zaid ya watu milion 50 walikufa kwa njaa kutokana na kufeli kwa policy mbovu za kisocialist.alvokufa mao akaja rais mpya ambaye aka-liberalise uchumi (yani akau capitalise) kwanzia miaka ya...
jamaa wanasema alikuwa ana busara ila hapo cjaona busara yake mi naona muungano ni mzigo 2 na nahisi kama sio muungano 2ngekuwa 2mewazidi kiuchumi KENYA.WA TZ weng ukiwaulza faida ya muungano wanakuambia imewezexha maxuala ya KUOANA na hawana hoja zaidi ya apo
NYIE hamuwezi kutuongoza cc mna bahati sana uyo mama kaupata urais kwa bahati af inaniuma kuona 2nagawana xana akati nyie ni sawa na kamkoa cha Dar.Muungano ukivunjika wazenji mtakiona cha moto maana maisha yatakuwa magumu na kuzamia sauzi mpaka mpande boti
ZANZIBAR ni kama kupe ana2nyonya 96% Ya pato la taifa ni tanzania bara hao zanzibar hawana export yoyote ya maana yenye bei ya maana kwenye soko la dunia na kama utalii bado bara tupo juu yao maana ndo 2na vivutio vingi sio watalii wote wanapenda kucheki magofu ya watumwa ya akina SULTAN
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.