Recent content by mulongu

  1. M

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Nimeona kuna mtu kapost doc za mauziano ya hiyo plot na ilifanyika 2012-2013 I think kuna kitu kikubwa zaidi maana GSM naye hafai
  2. M

    Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

    Wenye mitambo yao wanataka kuirudisha haijafanya kazi siku nyingi
  3. M

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi wizara ya afya haioni wagonjwa wanaohangaika kutokana na kukosa gharama za matibabu? Watoto wanahangaika na kuteseka kwa maumivu baada ya kukosa gharama za kutibiwa. Serikali angalieni hili. Kweli bilioni 4 au 10 iwe sababu ya kuteseka kwa mtoto wakati pesa mnatumbua ovyo
  4. M

    Maulizo, Je anaweza kusoma HGE kama school candidate

    Hawezi siku hizi lazima uwe na c 3 kwenye masomo husika. Hapo tayari History ana D na Mathematics ana F
  5. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Okay sahihi kwa hy hata hawa habari hii haikuangaliwa na watu?
  6. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Ushazoea kwenda kwa mpalange basi nenda karibu tope ulale. Au na hawa ni wa buza kwenu
  7. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Kutokana na issue ya COVID Tanzania imepata umaarufu mkuu
  8. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Kama una Twitter account kacheck foreign intelligence au global intelligence utaona hizo data
  9. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Sio takwimu ya Majaliwa maana mimi nimeona jana kutoka foreign intelligence na global intelligence
  10. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Na foreign intelligence wamesema ya Magufuli imeipiku ya MJ na Princess Diana
  11. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Sio aliteleza mkuu ni kweli foreign intelligence wametoa hizo data na wanadai kuwa amepiku records za MJ na Princess Diana. Ni live streaming billion 3.4 kama zile za YouTube mkuu
  12. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Ni live streaming mkuu inawezekana walihesabu zile ingia toka pia
  13. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Basi global intelligence na foreign intelligence ndiyo waongo. Maana wao walitoa hizo data jana. Live streaming za YouTube nazo zinakuwaga za uongo kumbe. Maana Kuna mwanamuziki alipata viewer 7.8 billion inamaana dunia mzima ilimuangalia?
  14. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Basi globalin intelligence na Foreign intelligence ndiyo waongo maana ndiyo waliotoa hy takwimu nimeona jana Twitter
  15. M

    Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Kulingana na takwimu za Global intelligence mkuu hata mimi nimeona hilo
Back
Top Bottom