Recent content by mulondo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Ajira mpya za waalimu - TAMISEMI

    Wewe mwalimu njaa itakuua .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu wapya hizoo!

    Ajira zinatoka leo usiku
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini rais nae katudanganya!

    Ajira za walimu ni tarehe 30 jan zitatangazwa tu .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ajira mpya za walimu mwaka huu

    Ajira zitatangazwa kesho saa 12 jioni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Walimu:AJIRA KUTOLEWA MWAKANI

    Zisubirie kwa hamu mwakani najua unanjaa sana hata tempo hukupata
  6. M

    JamiiForums Tanzania News: Ajira za waalimu 2013/2014

    Tar. 26 itakuwa ni j pili, Mbona tulitarajia j pili ya tar 19 zitangazwe badala yake siku hiyo mulugo akakutana na Dk. Jakaya? Ngoja tuvute subira.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 2014

    Wewe ni mwalimu najua una njaa sana ! Kwa tarifa yako ni kwamba, Ajira za walimu zitatoka tar. 15.7.2015. Ole wenu wavivu mnao subiri ajira.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 2014

    Ajira ni kesho saa nane kamili mchana zitatangazwa .
  9. M

    JamiiForums Tanzania NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

    Wewe kijana, Umesoma ualimu umekaa sana kitaa ndo maana una hasira ! Kwa taarifa yako ajira ni mwez July 2015.
  10. M

    JamiiForums Tanzania NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

    Ajira za walimu wapya zitatangazwa tar 19 mwez huu, Jiandaeni, Mshahara wa degree ni laki 6 take home. By Mulugo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

    Lisemwalo lipo, Hiyo TAMISEMI pamoja na wizara ya Elimu wafanyakazi wake ni binadamu na wanawasiliana na binadamu wenzao pia, Let us wait.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kutongoza...

    besti..! mmh! unajua, sina dhumuni la kukupotezea muda sana, ila ukweli ni kwamba, kila ninapokuona, hata pale unapokuwa mbali nami.. najisikia sana kuwa nawe DEMBA! please usichukulie kama utani kwa vile tunafahamiana! DEMBA nimetokea kukupenda kwa muda mrefu sasa!! naomba...
Back
Top Bottom