Recent content by MuksiniP

  1. MuksiniP

    Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Nishaku pm tayali pisi kali, naomba unitumie hyo namba please
  2. MuksiniP

    Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Mm maana ya pm hyo siijui dear, nitumie kwa namba hiii 0717447020, utakuwa umenisaidia sana aisee
  3. MuksiniP

    Ongeza faida kwenye biashara yako kwa kumkwepa middle man

    Naomba kujuzwa chimbo LA vitu vya urembo wa kike, kama vile hereni na mikufu, kwa bei rafiki zaidi, ukiachana na pale mtaa wa mchikichini, naomba kujua chimbo lingine kwenye bei nafuu zaidi
  4. MuksiniP

    Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Hello!! Pisi kali, naomba unisaidie kunitajia lilipo chimbo LA hereni na mikufu ya kike,ambako bei zao ni rafiki sana ukiachana na zile za mchikichini msikiti wa mtoro,
  5. MuksiniP

    Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

    Biashara, Uchumi na Ujasiriamali Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada Thread starterKisoda James Start dateMay 20, 2021 Tagsbucha mafao milioni First Prev12 of 13Next Last IgnoreUnwatch Extrovert JF-Expert Member Jun 3, 2021 Add bookmark #221 Kmmmk walai Thanks...
  6. MuksiniP

    Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani

    Biashara, Uchumi na Ujasiriamali Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada Thread starterKisoda James Start dateMay 20, 2021 Tagsbucha mafao milioni First Prev12 of 13Next Last IgnoreUnwatch Extrovert JF-Expert Member Jun 3, 2021 Add bookmark #221 Kmmmk walai Thanks...
  7. MuksiniP

    Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Hapana boss, but kama atatokea MTU alioko siriasi kuweka pesa yake hapo, nimeacha namba za simu hapo anaweza nitafuta tukayajenga vizuri
  8. MuksiniP

    Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Mimi Nina wazo, but mtaji sina, tunaweza ingia makubariano na kunikopesha kiasi cha 2M,hyo pesa yako ukawekeza kwenye wazo langu, na nikawa nakurejeshea pesa yako kwa riba ya asilimia 100%, kama uko tayali naomba tuwasiliane 0622939257, 0717447020, sio ww tu hata kama kuna MTU anahitaji kuingia...
  9. MuksiniP

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Naomba unisaidie vigezo vyao vya kutoa mkopo kama unavijua, please nisaidie nahitaji kweli mkopo, na ndio maana hapo nikaweka hyo hata kwa riba ya asilimi 100% Niko tayali coz nahitaji, it means kwamba kila shingi moja atakayonipa mm basi izae shingi moja hyo ndio maana yangu kubwa hapo
  10. MuksiniP

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Mimi Nina wazo, but mtaji sina, tunaweza ingia makubariano na hyo pesa yako ukawekeza kwenye wazo langu, na nikawa nakurejeshea pesa yako kwa riba ya asilimia 100%, kama uko tayali naomba tuwasiliane 0622939257, 0717447020, sio ww tu hata kama kuna MTU anahitaji kuingia ubia na mm basi...
  11. MuksiniP

    Biashara ya kuingiza movie na miziki kwenye flash na simu

    Huu uzi umenigusa sana.nilikuwa natamani kufungua duka LA mahitaji ya kila siku but kwa kuona huu uzi umenibadilisha mawazo yangu ghafla "Asante sana kiongozi, na mungu akupe moyo huohuo usiache kutusaidia pale inapobidi"
Back
Top Bottom