Ceequeeeeeeeeeee
Unajiita kisiki?
Kukutana?mimi isha kutana na wewe?nikutane na wewe ili nn?kwanini?kwa lipi hasa?una nn hasa?sina muda mchafu dogo.
Kama mimi ni goigoi,subiri kipenga cha mwamuzi.ok?
Ceeque umeenda shule kweli wewe kijana?
Unapima vp ubaguzi ktk jamii fulan?unajua vigezo vinavyotumika kusema CCM ni mafisadi?
Acha pumba kijana,haitatokea waislamu wooote wakawa wabaguzi,asilimia fulani inaweza kuwakilisha watu fulani kuwa ni wabaguzi.
Tuliza kichwa chako kijana.
Heshima wakuu
Kumbe mizizi ya kuegemea upande wa dini fulani ilianza kitambo?!
Sioni sababu za kubishana sana hapa,neno moja ninalitaka kwa Wakristo wenzangu iweni macho,acheni kushiriki udugu wa kinafiki na hawa watu,laiti mngalijua agenda za hawa wabaguzi sidhani kama kuna mkristo hapa JFna...
Kuhani Mkuu na wenzako mnatia aibu
Fungeni midomo yenu kwanza kwa kurishabikia ri element la kibaguzi.
Wangelikuwa waislamu wachache wako zenj hawapewi nafasi wangeandama hadi UN(mfano mzuri ni wapemba wamechoshwa na kutopewa nafasi),wakristo wakihoji,oooohhh wanaleta ubaguzi.
Ninyi ni...
Heshima wakuu
Nawapongeza CUF kwa kutafuta haki za wapemba huko visiwani zenj.
Watz wote wanatambua lengo kuu la mupambano huu ni kubaguliwa kwa wapemba na serikali ya zenj iliyojaa waunguja.Ni wazo zuri,na wamefikia kutaka kujitenga kabisa.hongereni kwa kazi muzuri.
Naomba kupata...
Nimechoka na taarifa za wapemba na waunguja
Namshauri JK aruhusu visiwa vyote hivi viwili vijitenge hata kesho ikiwezekana.
Hakuna chochote tunachopata toka kwao,zaidi ya kero za kisiasa zisizoisha,kumbe wenzetu wana agenda zao nyuma ya pazia.
Natamani kuiona Tanganyika mpya na yenye...
Mzee mwanakijiji!!
Wapemba wanatamani warudi ktk utawala wa kiarabu kuliko kuongozwa na serikali ya sasa.
Mutu mwene akili timamu unaweza tamani kurudi ktk hali ya ukoloni?
Ni hatari ngapi ziliwakuta vongozi wetu ktk harakati za kumwondoa mwarabu na usheenzi wao zenj?leo hii mkombolewa...
Heshima mbele,
Tusizunguke kichaka
Ukweli ni kwamba majority ya wazenj na waislamu wanapenda kuona zanzibar ikirudi ktk tamaduni za kiarabu.
La Pemba kutaka kujitenda,CUF kuhusiana na Hz,au CCM!!ni usanii mtupu.
Naomba tuelewe wenye mapenzi na hao Hz(waarabu) ni wazenj(majority) na waislamu...
Wanamalizana wao kwa wao!!!!
Naombeni kujua na wakristo idadi yake ni ngapi ktk hiyo serikali?
Hongereni wa-WATANGANYIKA ubaguzi ya kidini mmeyashinda kwa kasi kidogo dogo.
Wakuu heshima mbele
Ni masiku mengi tuu,tumekuwa tunataka uhuru na mademokrasia za kweli.CCM wamekuja na kuwapa wazanzibar demokrasia za kupiga kura kwa mafaida yao waweze kujichagulia kile wapendacho,cha ajabu waaanza kulalamika.Lamda walimtaka CCM awe dikiteta,asiwape hata hako ka uhuru...
Heshima mbele wanaJF
UDINI ni chanzo kikubwa kabisa cha matatizo muyaonayo ndani ya hiri ri-MUUNGANO.
Udini unatugawa kwa rikasi ra ajabu sana,chini kwa chini,ni ngumu sana kurecognize dariri zake,siku ikifika mutakaa midomo wazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.