Recent content by Mukohi

  1. M

    Pinda na kauli tata kuhusu gesi

    Sina jina1 umenena mkuu
  2. M

    Raila Odinga atua Dar es salaam kumtembelea Magufuli kwa kificho kikali

    Huu urafiki wa Raila na Magufuli mbona wa siku nyingi tu. Kwasababu Magufuli amekua akienda kumtembelea Raila mara kibao. Mimi sioni athari ya ziara ya Raila naona ni ya kibinafsi zaidi.
  3. M

    Nimeanza kuzini na mama mkwe. Alikuwa ananitega mwenyewe

    Nakupa pole sana MNYISANZU Maandiko yanasema: Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake-Mambo ya Walawi 18:17 Tena mtu mume akimwoa mke pamoja na mama yake, ni uovu mkuu; watachomwa moto, yeye mume na hao wanawake pia...............-Mambo ya Walawi 20:14 adhabu ya umeiona!!!
  4. M

    CHADEMA yawasha moto mtaa kwa mtaa Manzese-Ubungo, ziara ya Mbunge

    Wakuu heshima kwenu! Naomba mnikaribishe ktk jamvi hili ambalo kwa muda mrefu nimekua msomaji tu, sasa naona kuna haja na mie niwe mchangiaji. nadhani mtanikarisha vizuri tu. Asanteni.
Back
Top Bottom