Asili ni kila kitu ni halali isipokuwa vile vilivyoharamiswa Kwa sheria.
Kanuni ya visivyoliwa Katika wanyama na ndege, ni kila mwenye makucha mkali Katika ndege, na kila mwenye meno chonge(marefu) Katika wanyama.
Kwa waislamu kutokula nguruwe ni agizo kutoka Kwa muumba, hivyo hatuli nguruwe Kwa sababu hiyo.
Kuwa anacheua au hacheui, hilo haliathiri kufuat a maagizo ya muumba.
Katika Uislamu tunaamini kuwa kila ambao Allah amemuamrisha mwanaadamu basi linamaslahi Kwa mwanaadamu, na kila alilomkataza...
Hoja zako umezijenga ki mihemko hivyo unakuwa kama umeandika gari kwa mbele.
Mfumo wa sheria za kiislamu ni mkamilifu na una misingi yake, kutokana na misingi hiyo, ndio sheria zingine zimezaliwa. Hili hulifahamu ndio maana umeleta hoja hii.
Ungetaka kuzikosoa sheria za kiislamu ingeanza...
Mada yako haijabalance
Hebu jaribu kubadilisha kichwa cha mada kisomeke "Uislamu ni chanzo cha umasikini na kudidimiza maendeleo"
Halafu ukiona kila taifa kwa kuzingatia hali za waislamu katika taifa husika, linaingia kwenye hizi hoja zako basi utakuwa upo sahihi.
Na mimi ntakuuliza swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.