hivi unamuelezea huyo zumbukuku unadhania atakuelewa? kwanza hata familia hana huyo mwenzako mgumba, hajui uchungu wa mtoto, alafu mbabuu jitu zima na familia hana!so u can imagine ana stress kiasi gani anazimalizia huku, kingine shule huyo mwenzako aliishia vidudu kuvaa uniform ndio...
mnoo hata sikuwahi kudhania b4!nilitoka pale nina maswali mawili mawili kama siamini nilichoona, ninavyojua it's totally against maadili ya umma kumtreat mteja vile, and it seems ni vitu vya kawaida pale
Mbumbumbu wewe kubwa zero unachojua kwenye elimu ni hilo neno elimu tuu hahahhhhahaahaahh Leo nimeongeza miaka 5 katika maisha yangu sio kwa kucheka huku
na management kwa kumfumbia macho sababu sio mara ya kwanza,vyanzo vilikuwa vinadai ndio zake na alisharipotiwa..anyways tuone maybe watarekebisha.The akilis kubwaz tunajuana wenyewe tushaelewa tunaongelea kitu gani[emoji2]
utajuaje elimu na wewe hukusoma sasa[emoji13] aliekuambia uamini nani?hata kunielewa sikutegemea kwanza unadhania nani anakulaumu sasa wajitetea nini? kusikia udsm tuu macho yamekutoka ka umeona bomu we product ya mibuyuni sio bure haya nitokee hapa
[emoji23] [emoji23] sasa hata kama ningekuwa nimeivua vipi mbona povu sana? We mwanga sio bure ila unanichekeshaa endelea tena kupanick jaman unanifurahisha mnoo hahaha jike shupa sio kwa kuchambana na mwanamke huko yan wewe ulitakiwa kukaa makumbusho kwa kivutio cha utalii. .u are too funny...
kumbe hata jina tuu nalo limekuvuruga[emoji23] maskni unahali ngumu sana tangu uanze kuwanga hujawah kukutana na mjew eeh?lazima upanickkkkkm...go ahead panick at ur own risk ndio raha yangu mieee kuona mazumbukuku kama wewe mnaacha kazi zenu za kuwanga mnakuja kupanick kwa thread yangu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe kanywe aspirin ulalee. .UCC wana typing errors tangu lini?content imekushinda. .point umekosa umekazania kukesha kwa my thread tangu juzi hupumui upo tuu hapa we mwanamke nini? hata ningekuwa UCC soo?unatakaje? umekazania kutoa mapovu as if mie ndie niliekutuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.