Recent content by Mukamamulungulu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Nafikiri kwa namna ambavyo Rais anavyofanya kazi, hizo kero zitaondoka tu, kikubwa ambacho tunatakiwa kufanya ni kumuombea tu ili aweze kutekeleza yote haya
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Palipo na haki hapashindikani kitu chochote, haki siku zote huwa inacheleweshwa tu, muda ukifika hali itajieleza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maji ni Mtego wa Umasikini (poverty trap)

    Kwa kweli suala la maji baada ya miaka kadhaa ijayo itakuwa ni vita nyingine kubwa ambayo mwisho wake hutaweza kuamlika kirahisi
Back
Top Bottom