Recent content by MUJUNI JR

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    :closed_2: Thank you all!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    :ranger::ranger:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    :hat: :welcome::welcome::welcome::welcome:
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lema akamatwa na Polisi na kuachiwa leo hii

    CCM wanadhani wakitumia Polisi kuzima kasi ya viongozi wa CDM itasaidia kumbe ndio wanazidi kuwapaisha.Mtaishia kupigiwa kura za hasira tu kwa kutumia mbinu za kikoloni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

    Pasco umejipanga aiseee!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Car for Sale

    Ni gari nzuri sana kwa watu wa masafa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Karibu tuzungumze mkuu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    :ranger:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Hesabu kwa siku ni kati ya 15,000 - 20,000.Mimi nafanya 18,000 kwa siku.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Mkuu unakaribishwa Bajaji ipo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Ni kweli mkuu kama jinsi ambavyo kila mahali, kila sector uhalifu ni mwingi.Kila biashara ina namna yake kuifanya ili kupunguza nafasi ya uhalifu hivyo uzoefu nim muhimu pia. Asante kwa tahadhari.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Kwa fikra hizi magari ya wajapani yasingeuzika maana ndio yaliyojaa barabarani maisha yanasogea.Alafu kama mtu anaweza kununua chombo kipya ni jambo jema nadhani unajua bei ya bajaji TVS King mpya zinauzwaje sasa na hazipo madukani tu unaenda unabeba bali kwa order otherwise upigwe bei za ajabu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Ladies and gentleman price is negotiable!! Karibuni sana! :ranger:
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Ushauri kuhusu issue za biashara za bajaji unaweza kuuliza hapa tukajadili kuliko njia ya kupiga simu ili upate mchango wa wadau wengi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

    Bajaji bado ipo!
Back
Top Bottom