Hivi kuna wadau waliosoma kozi ya PGDE humu, wakafanikiwa kuajiliwa na kuripoti vituo vya kazi wakafundiasha kwa bidii kisha kuondolewa kazini baada ya miezi3, eti kwa madai degree ya kwanza haihusiani na elimu? Kama wapo tujadili hili. Hivi kuwa na degree ya sheria mf au utawala then ukasoma...
jamani mm ninayo kama iyo lakini betrii imevimba hatari saivi namtumia ikiwa kwenye chaji Bila ivyo inazima tu, sijui tatizo kimetoka wap maana mwanzo ilikua poa tu, ina mwaka tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.