Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza.
Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Kiukweli jezi za Yanga msimu huu ni za kawaida sana. Jezi za Simba za Pre season ni nzuri kuliko hizi rasmi za Yanga. Sema Yanga huwa wanafanikiwa kupiga Propaganda na Mashabiki zao wanajaa mazima. Ally Kamwe na wenzake wa Propaganda acheni tu walipwe hela nyingi.
DC Albert Msando piga kazi mdogo wangu na wala usirudi nyuma. Usisikilize kelelewa za wajinga wanaokiuka sheria halafu wanataka waachwe tu. Binafsi ninakujua ulivyo smart kiutendaji.
Nchi hii watu wengi hawataki kufuata sheria na taratibu, na hawataki kuwajibishwa wanapokiuka. Na ndio...
Pamoja na kuwa umelalia zaidi kibibia hasa agano la kale. Hata hivyo andiko lako linafikirisha japo uwezekano wa kutokea hiyo ni asilimia 00.5% na sio karne wala millennium hii. So far ahadi za Mungu ni timilifu muda wote.
Lakini pia sisi Afrika tukumbuke kuwa hatuna uwezo wa kuzuia kile...
Ila wewe jamaa una maisha ya taabu sana. Unautesa Moyo wako kwa kulazimisha mambo yasiyohalisia.
Mapenzi yako kwa NATO na Ukraine ni makubwa sana lakini usijitese kiasi hicho.
Ishinde roho ya chuki kwa faida ya afya ya Moyo
Mbona Suleiman Mwalimu Allenda Wydad akitokea Fountain Gate, angalia kina Msuva , Himid Mao nk hawajatokea Simba wala Yanga.
Feisal Salum ni mchezaji mzuri ila nadhani kwa humu ndani tu. Pia propaganda za mashabiki wake zinamkweza sana.
Na kenyewe sasa kanavyojiona kakubwa, kiburi kama chote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.