Recent content by Muhsiniina

  1. M

    JamiiForums Tanzania Binti aliyetelekezwa na Lowassa asema Fred alimtambua na kumhudumia. Lowassa agoma kupima DNA

    nadhani wangetumia tu busara, hapo lengo inakuwa kama kumchafua mzee, haya mambo ni magumu kupata proof ya kimazingira rahisi maana mzee ni wa idara, asingeweza kupiga picha kirahisi rahisi mazingira hatarishi, na picha enzi hizo hazikuwa readily kama siku hizi. Kama nikweli na walimtafuta...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    huu ndio udhaifu mkubwa kabisa wa watu wengi, uko nje kabisa ya mada, tumalizane na hili lililoletwa mezani lijibiwe kwa hoja tuhamie kwingine. Huwezi kupelekwa mahakamani kusomewa mashtaka halafu unapewa nafasi ya kujitetea ukaanza kuelezea waliokutuhumu walivyo na makosa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Freeman Mbowe na genge lake anavyotafuna pesa za CHADEMA!

    hatuendi hivyo bro
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    mbaya sana kufukua makaburi, haya mapichapicha ya nini kama amebadilika na amekuwa muungwana?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    we msela sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jamhuri kuleta mashahidi watano kesi ya Nondo

    think in and out of the box
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Analazimisha watoto wote wasome shule moja wakati si yeye anayetoa huduma

    kwahiyo ww unamuona huyo jamaa mjanja sana? na kwa tabia hizo ulizoeleza za huyo mbwiga anayetoa saport kwa mwanae ndani ya familia ya baba k, eg umri umkwnda, bachela na nimtu wa kubadili vsichana daily bila shaka baba k kuna viashiria kaona na ameamua kudhibiti mapema kunusuru ndoa, mwanaume...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Analazimisha watoto wote wasome shule moja wakati si yeye anayetoa huduma

    97.9%
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto asipelekwe kwa Makonda, apelekwe ubalozi wa China haraka

    chung lee chong[emoji16], nacheka tu jina ila inahuzunisha sana kweli mtu unajua kabisa mtoto damu yako umuache, watu wakatili sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    walipe tu hakuna namna
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelea watu hawataogopa tena jela bali itakuwa ni ushujaa

    hujamwelewa mkuu, soma taratibu utamwelewa
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sema sababu iliyokutenganisha wewe na mpenzi wako wa zamani

    [emoji16] sio kwamba umeona huo uongo-uongo wake kwa stress ulizonazo utakuja kupata kesi
Back
Top Bottom