Vitu vingine ukiwa unavijadili kwa mitazamo yako. Au kwa imani yako. Au mahali ulipo. Huwezi kuepuka ujinga. Kila nchi ina tamaduni. Desturi. Mila nk. Inakubidi uangalie kwa nini iko hivyo huko. Zuma wkt anaapishwa kua rais alikua na mke wa kanisani. Lkn nyumbani alikua na wake wanne ambao...
Wao pia walikua home wangetufunga zaidi ya moja. Tusingefikà huko kwenye bahati nasibu(penalt). Ndio maana tunasema simba katoka kiume. Usisahahau kua Hawa jamaa ndio mabingwa watetezi. Na hii ni ligi ya mabingwa..sio shirikisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.