Recent content by muhoozi

  1. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    ndg yangu nipo tanga mwaka wa kumi huu kikazi napambana sana kuhama .hakuna fursa huku usijaribu kuja tanga
  2. muhoozi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    wasambaa wakinunuliwa tu chupa za kahawa basi Makamba kapita tena ila barabara za jimboni sasa ,miaka 15 madarakani lakini hakuna hata tone la lami oya ni kugumu sikia tu iyo soni -bumbuli au mgwashi -soni au bumbuli -mahezanguru duuuh barabara ni tope jekundu la uji uji.
  3. muhoozi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    Hapo kwa Mathoyo Manyinyi aende zake kabisa
  4. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Je viatu vya Makonda vitamtosha Kenan Kihongosi

    habari ! Hakika kuna watu hata usipowapenda lakini wanajua kujibrand ,Arusha hakuna vyombo vya habari vingi kama Dar ,Arusha hakuna Mastaa wengi kama Dar ,mastaa kule ni wadudu ,cha ajabu Makonda aliiteka Tanzania kwenye media zote kwa ubunifu wake mara land rover festival n.k . Nashauri tena...
  5. muhoozi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Kemikali za kuivisha Ndizi zimehamia katika matunda mengine, Wataalam wa Afya watueleze kama ni salama

    umeokoa maisha ya wengi sana ,yaan kwa taarifa hii wewe ni mzalendo haswa na wala sio uzalendo wa kufia chama bali wa kuwajali watanzania wenzio na kuitakia heri Tanzania ,Mungu akubariki sana
  6. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Hii dawa inatibu nini jamani

    mekumic siku hizi huipiganii tena dini ya mwenyezi Mungu ..nilikua nazisoma sana nukuu zako na kuzitafakari kwa mapana yake ,japokuwa zingine huwa zina ukakasi mwingi sana
  7. muhoozi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba Mbunge wa Bumbuli (CCM), Bumbuli wanasema hivi

    mmmh,haya bwana wasalimie sana hapo kweusolo na kicheba
  8. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Agenda Maalum hatuishii tu kwa Kiboko ya Wachawi, ila akina Mwamposa na Mwasha nanyi mtafuata

    amanghana mbane, ulipotea sana mtoto weitooo
  9. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Kama hakuwa malaika basi mtu yule Mungu alimuongoza anisaidie

    bro kamali zinaachika ni mindset na kukataa kuongozana na watu wanaokushawish betting,keep yourself busy
  10. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Uzembe uliopitiliza ofisi za NHIF mkoa wa Tanga

    wasaalam, Ofiisi za Nhif TANGA mna uzembe uliopitiliza maana haiwezekani watu waombe vitambulisho vya Bima ya Afya kuanzia Novemba 2023 hadi leo havijatengenezwa, halafu confortably mnajibu eti kuna idadi kubwa sana ya watumishi walioomba, mbona michango yetu mnapokea kila mwezi hamsemi...
  11. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Tamisemi please toeni vibali vyetu tuhame maana wengine ndoa zitakufa na pia morali kazini hatuna maana kisaikolojia akili haijatulia nawaza matatizo ya familia ilioko huko niliko omba hamia ,aya majibu yenu ya kuwa mda wowote kuanzia sasa vibali vitatoka sio fair,maana kuanzia mwaka jana mwezi...
  12. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Etaro Sekondari: Matayarisho ya Kuanzisha High School Yenye Somo la Sayansi ya Kompyuta

    mugango ni high school kuanzia lini???
  13. muhoozi

    JamiiForums Tanzania Tanzanialeaks apuuzwe, Hazina haijafilisika

    mheshimiwa kwani mkoa wa Mara ni kisiwa au?? na sisi tunahitaji SGR pia,sisi pua tunaomba tuwekwe kwenye mpango
  14. muhoozi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia chaguzi ndogo ni kuwanyima haki wananchi na wanachama hai wa CHADEMA

    hapana hawajashiriki kabisa na wananchi tumeumia sana Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom