ukimuona hata mtoto mdogo anaenda madrasa anahoja na akili nyingi kuliko mkiristo prof na dk, ushahidi hapa mzee madrasa anatoa hoja maprof wanashindwa kuwasilisha majina kupinga. Mngalikuwa na jina moja muislam mngalikuwa mshalitoa.
nimewajibu wachochezi. Mada ipo wazi, zijabishwa na kuonyeshwa katibu mkuu baraza la mitihani muislam, sasa mimi na wewe nani muongo. Weka majibu basi. Weka majina wewe si mfanyakazi wabaraza huna data? Anadata mtu wa madrasa?
Mwaka 1987 Profesa Malima aliteuliwa kuwa Waziri wa Elimu akiwa Muislam wa kwanza kushika nafasi hiyo. Mawaziri wanane waliopita walikuwa Wakristo. Kulikuwa na malalamiko kutoka kwa Waislam kuwa wizara hiyo imegeuzwa jimbo la Wakristo, hasa pale padri alipoteuliwa na Julius Nyerere kuongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.