Kwanini katibu mkuu wa baraza la mitihani haijawahi kushikwa na muislam?

Status
Not open for further replies.
Hakuna jambo la mcng la kujadiliwa hapa! Mnapenda kuongelea mambo ya udin wkt Tz hayo mambo hayapo! Mnataka kuvuruga amani ya nchi kw isue zenu zczo na kchw wla miguu! Hv ww una elimu gn? Manake km umesoma kwel ungeanza kuwaelimisha hao waislam wenzio wnye mawazo ya ajab. Mcpende kujfanya wehu wkt akil mnazo!

Amani ya nchi hii imeshikiliwa na waislam. Halafu umesema udini haupo?! hapo ndio tunasema mfumo kristo ndio sera yake kuwa mna act kuwa haupo udini kumbe ninyi mnafanya ufisadi mkubwa wa mali za walalahoi kwa mgongo wa udini wenu. Tunaomba makanisa yaache kuinajisi nchi kwa kuiba mali za wote na kujinufaisha lenyewe
 
Sa kumbe mnayajua yote hayo? C mchukue ha2a za kuinusuru nchi? We unafkri kuongea kwnye makongamano inatosha? Fanyeni na kwa vitendo ndg zng!
Amani ya nchi hii imeshikiliwa na waislam. Halafu umesema udini haupo?! hapo ndio tunasema mfumo kristo ndio sera yake kuwa mna act kuwa haupo udini kumbe ninyi mnafanya ufisadi mkubwa wa mali za walalahoi kwa mgongo wa udini wenu. Tunaomba makanisa yaache kuinajisi nchi kwa kuiba mali za wote na kujinufaisha lenyewe
 
Hawa uliowaandika walikuwa wenyeviti sio makatibu watendaji (Executive Secretary(ies)) wa baraza. Huyo M. Kaduma ni Ibrahim M. Kaduma ambaye wakati akiwa kwenye baraza alikuwa mwislamu. Huna data wewe.
Ibrahimu wakati anapewa hiyo nafasi alisha litadi uislam.
 
Kuna shutuma kwamba baraza la mitihani ndio chanzo cha waislam kuwa nyuma. ktk mijadala yao mingi hulitaja baraza la mithani kama ni source ya wao kuwa nyuma.
wanasema eti sio bahati mbaya kuwa baraza hilo kutoongozwa na muislam .
Ijapokuwa waziri huwa muislam.lkn wanaamini katibu mkuu ndio mtendaji mkuu.

jee kuna katibu yoyote muislam?
hawa hapa ni wenyeviti
1973-1977=Pius Msekwa
1977-1980= M Kaduma(mkristo)
1980-1988=Nikoras Kuhanga

1988-1992=Prof Mmali
1992-1999=Prof Ruhanga
1999-2004=Prof Mmali
2004-2009=Prof Mwaikando
2009-hadi leo Prof Mkandala

elimu 'duniya' hamuiwezi, endeleeni na elimu 'akhera'
 
kwanza waislam tujiweke sawa katika taasisi ya kiislam itakayo kuwa na vision kwa manufaa ya jamii ya kiislam tanzania kabla ya kufikiria nafasi za serikalini. MBONA HUJAULIZA NI LINI TANGANYIKA ITAKUA NA SHEIKH MKUU MWENYE PHD,MASTERS YA WALAU ISLAMIC STUDIES?

PHD/MASTERS si suluhisho kwa Mufti kuwa nayo, elimu iliyomo ndani ya Qur'an haijaacha hata chembe ya jambo ktk hali nzima ya maisha ya dunia. Mtume s.a.w au manabii waliomtangulia (pbut) hawakuwa na hizo bali karama na elimu ya vitabu vitakatifu kuiongoza jamii na dunia kiujumla. Mufti anapaswa kuwa ni mtu mwenye taqwa ya juu, hekima ya juu, upevu wa juu, subra kuu na busara njema. Watendaji wa vitengo ndio wanaostahili kuwa proffessional ktk sekta mbalimbali. Marehemu sheikh Gorogosi alikuwa ni mhitimu wa Al-Azhar university pale egypt, wapo masheikh wengi wenye hiyo elimu na si kigezo cha kuwa NDIO SABABU...la hasha!
 
Ibrahimu wakati anapewa hiyo nafasi alisha litadi uislam.

Mwaka 1987 Profesa Malima aliteuliwa kuwa Waziri wa Elimu akiwa Muislam wa kwanza kushika nafasi hiyo. Mawaziri wanane waliopita walikuwa Wakristo. Kulikuwa na malalamiko kutoka kwa Waislam kuwa wizara hiyo imegeuzwa jimbo la Wakristo, hasa pale padri alipoteuliwa na Julius Nyerere kuongoza wizara hiyo. Profesa Malima aliposhika wizara hiyo aliona upo umuhimu wa kufanya marekebisho kadhaa ili kurejesha imani ya Waislam katika wizara hiyo. Kulikuwa na tuhuma kuwa Wizara ya Elimu ilikuwa ikiwabagua vijana wa Kiislam kupata nafasi katika vyuo vya elimu ya juu na ilikuwa ikizuia kupanda vyeo kwa Waislam.
 
mwenye data ya kaibu mkuu muislam aweke data, anisute, nisutike na anite mdini

wewe ndo ulete orodha ya ukweli ya makatibu watendaji wa baraza la mitihani ndipo tujadili na sio orodha yako ya kutunga uliyoileta na kwa kukusaidia na kukuumbua ni kwamba kwa sasa nafasi hiyo inashikwa na dr. joyce ndalichako na si mukandala! mwongo wewe mzushi wewe ***** wewe mchochezi wewe huna hekma wewe mpuuzi wewe mjinga wewe si mtafiti wewe mleta stori za kwenye gahwa na mashehe ubwabwa waganga njaa walioshindwa maisha na sasa wanataka kuvuruga taifa kamwe hamtofanikiwa na fitna na hila zenu! do your homework mr. empty head!
 
mbona unahama mada taratbu? Chadema, ccm, na cuf havihusian na mada ilyoko! Au umegundua kuwa ume2danganya na limada lako?

nimewajibu wachochezi. Mada ipo wazi, zijabishwa na kuonyeshwa katibu mkuu baraza la mitihani muislam, sasa mimi na wewe nani muongo. Weka majibu basi. Weka majina wewe si mfanyakazi wabaraza huna data? Anadata mtu wa madrasa?
 
wewe ndo ulete orodha ya ukweli ya makatibu watendaji wa baraza la mitihani ndipo tujadili na sio orodha yako ya kutunga uliyoileta na kwa kukusaidia na kukuumbua ni kwamba kwa sasa nafasi hiyo inashikwa na dr. Joyce ndalichako na si mukandala! Mwongo wewe mzushi wewe ***** wewe mchochezi wewe huna hekma wewe mpuuzi wewe mjinga wewe si mtafiti wewe mleta stori za kwenye gahwa na mashehe ubwabwa waganga njaa walioshindwa maisha na sasa wanataka kuvuruga taifa kamwe hamtofanikiwa na fitna na hila zenu! Do your homework mr. Empty head!
mimi mjinga wewe mwerevu nafisadi.kumbe wapo walioshika waislam? Huwaoni ukinipa tu nahamia chadema kesho nachukua kadi
 
Mleta thread ana lake na katumwa kuja kuchafua jamvi. Ulalamishi tu , hiyo aman ikitoweka hata mama yake hatasalimika . Mwaga supportive information za wakristo kuiba mitihani nk. Acha majungu kame ni me angalia usije ....shiwa. Na hao wakristo wanaodisco umeangalia ratio yao class??mijitu mingine bana mbona shule za kikristo mwasoma?? Gomeni basi kupeleka watoto wenu huko ndo tutajua kweli. Unahuburi udini huku mitaan mmejichanga na wakristo! Jitengeni basi mkae ukanda wenu peke. Mafisadi wakuu ni wakristo peke???
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom