Recent content by muhinda-moja

  1. M

    Fursa za biashara U.A.E (Dubai)

    vp mkuu nifanyeje ili niwe naagiza mabalo ya mitumba na nitayapokelea wapi na nani ataniletea!
  2. M

    Natafuta kazi ya kufundisha, nina shahada ya Ualimu

    Acha swaga,kuisha na watu vizuri siyo mpaka uwe umesoma bed psvchology
  3. M

    Ushauri: Nina mkopo ila sikuingiziwa hela ya field

    usiwaze sana,pesa yako ipo,ila cha muhimu nenda kwa loan officer hapo chuo kwenu muulizie hiyo hela na atakwambia mambo yako vp!
  4. M

    Niulize Chochote kuhusu DUCE

    vp madanguro ya karibu huko duce yako sehemu gan!
  5. M

    Msaada: Nimepata nafasi ya kusoma, ila ruhusa ni tatizo

    Kama hujamshirikisha mwajiri wako mwanzoni,kwann unataka umshirikishe mwisho.
  6. M

    Kwa waliokosa mkopo

    Mkuu unauhakika na ukiongeacho,au umekurupuka kama anae-sex na kichaa,WEWE KAMA ULIMALIZIA SHULE YA KATA NA UKAJITIA KIMBELEMBELE KUCHAGUA COURSE AMBAYO NI NON-PERIORITY,JE ALITEGEMEA NN,LAWAMA NYINGINE SIYO ZA KWELI,LOANS BOARD Wanawapa kipaumbele wale waliomalizia shule za kata na kuchagua...
  7. M

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Tunabishana kwa data na siyo useme ni utoto
  8. M

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    SUA napo kuna mziki,ulizia udsm ambako hata T.O wa 2006 ali-disco,sua pakawaida sana ukilinganisha na udsm,ila sua ni pagumu ukilinganisha na vyuo mbuzi,yaan hivyo vyuo kama saut,st.joseph na vingine kama hivyo.
  9. M

    Wanaosoma masomo ya Sanaa, Kwanini tujutie maamuzi yetu

    Hata kama huna familly support kufaulu unafaulu ukijituma sana,mm nilisoma PCM ila sikuwa na support kutoka nyumbani hivyo nilikuwa nawaomba marafiki zangu wale waliokwisha soma topic wani flash,na baada ya hapo nakomaa mpaka mwisho, nikatoka na div 2 ya point 10, enzi hizo kabla ya BRN...
  10. M

    Ushauri wako ni muhimu hapa

    Kama kuna uwezekano itabidi wazazi wajipapase hata nusu ya hicho kiasi ili muende kureport nyote,ila ninachokusihi usithubutu kuahirisha mwaka!!
  11. M

    Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

    Ninachojua ww ulieandika huu uzi siyo mwana udsm ingawa umejaribu kueleza kama mwana udsm,lakini hukuwahi kujiuliza kwann udsm ni chuo cha Tanganyika!
  12. M

    Baadhi ya matajiri wakubwa sio wasomi

    Uongo ni dhambi jamani elimu kwenye huu ulimwengu ndo kila kitu, kwani hata hao unaosema eti hawakwenda chuo kikuu lakin shule walienda!
  13. M

    Jina halionekani kwenye list ya chuoni ila NACTE lipo

    Nipe jina lako nikuangalizie pengine yawezekana uliangalia kwa kiwewe!
  14. M

    Nataka kuwa mhadhiri (lecturer) wa chuo nikimaliza shahada

    Vp umechaguliwa chuo gani kwanza,kama uko chuo mbuzi au uko chuo kikuu cha vyuo vikuu[udsm],a.k.a chuo cha tanganyika nifahamishe ili nijue cha kukushauli.
  15. M

    Wanaosoma masomo ya Sanaa, Kwanini tujutie maamuzi yetu

    Unamaanisha wanaosoma sayansi wote hakuna wanaotoka shule za kata!!
Back
Top Bottom