Heri hata mwendazake alikuwa hataki kabisa kujichosha kuiongea hii lugha, alikubali aonekane hajui tu, tofauti na hawa wajuaji wanaojifanja kuiongea wakati hata kuongea sentensi moja tu hawezi.
Maccm mlivyokuwa na akili ndogo mnajiona kwa kufanya yale mauaji basi mmeshinda, na ndio maana yule shetani wa kizanzibar kila leo akisimama kwenye majukwaa huwa anajitapa sana.
Msichokijua ni kwamba ule ndio mwanzo wa kuelekea kwenye mapinduzi rasimi ya kuondoa kabisa utawala wa ccm.
Hakuna...
Bila shaka huu upuuzi wote umelishwa na viongozi wako wa huko BAKWATA, maana katika maandishi naona chuki ya kidini kwa Nyerere ambayo unajaribu kuificha ndio maana neno kanisa umelitaja mara karibu mara ishirini.
Pamoja na chuki na kumbeza Baba wa taifa mlionayo wewe na nguchiro wenzio wa...
Huyo jamaa anajinasibu kuwa yeye ni daktari ila reasoning capacity yake ni kama ya mtu aliyeishia darasa la saba, ameonesha uwezo duni sana wa kiakili.
Sidhani kma ni daktari huyo na kma kweli ni daktari huyo basi ndio wale madakari wa mchongo wanaosoma short courses kupitia youtube, halafu...
Kma wewe kweli ni dakatri na hivi ndivyo jinsi unavyo reason na haya matango pori uliyojifunza darasani, basi unapaswa kunyang'wa leseni kisha ichanwe chanwe, maana umeonesha ufahamu mdogo sana wa kitaaluma na kifikra.
Sasa kati yangu na wewe nani ambaye anaongea vitu too general?
Wewe ambaye umetuweka wanaume wote kwenye group moja kuwa ni wachepukaji, kiasi kwamba mpaka umeamua kutojihusisha na mahusiano kwa sababu "you can't handle cheating" as if wanaume wote umewahi kutujaribu na ukajiridhisha ni...
Hongera sana kwa kuwa mmoja ya wanawake majasiri mnaopambana na huu mfumo wa kishetani unaotuharibia kizazi cha wanawake na jamii kwa ujumla.
Catherine namfahamu na nimemfollow kabisa, natambua jitihada anazofanya kuwaokoa watoto wa kiume na wa kike wasiingie kwenye wimbi la usagaji, na...
Sasa hii comment yako ndio ilipaswa kukaa pale juu kabisa mwanzoni, kwa sababu imebeba imani unayotembea nayo kichwani kwamba wanaume ni wasaliti tu siku zote wakiwa na hela, na wewe haupendi usaliti hivyo umeamua kukaa pembeni uwapishe wanaoweza.
Imani yako ya kwamba sisi wanaume siku zote ni...
Kabisa kaka hata mimi naona nimempigia mbuzi kinanda na gitaa nikitegemea atacheza.
Katika hoja yake amemaanisha jambo fulani, halafu unajaribu kumpa maelezo mepesi ukimuuliza je, una maanisha hivi? Anakataa, halafu hapo hapo kwenye hiyo comment anaweka maneno ambayo yana maanisha kile...
Naona kwenye hili tuko kwenye logical pathways tofauti kabisa, ndio maana hata ulichokiandika sikielewi na sioni kikihusiana vipi na comment yangu.
Hakuna mahali mimi nimejaribu kuwahusisha wadangaji na feminism. Sijui hata ulitaka kusema nini?... kwanza hao wadangaji huwa hawaamini katika...
Kuhusu samuya huyu watanganyika lazima tutakuja kumalizana naye hata kama ni baada ya miaka 15 toka hivi sasa...
Hawezi kuua ndugu zetu kwa kiasi kile kama anaua mende halafu tukamuacha salama, mbaya zaidi anakuja kujigamba mbele ya adhara na hatuna cha kumfanya... huwa inaniuma kwakweli.
Yule...
Ndivyo walivyo hawa wapumbav, yaani ule ushetani wao wanausifia kabisa na kujustify kwa hoja za kishenzi na maudhi sana, sijajuaga huwa wanalipwa shiling ngapi mpaka wanajito ubinadamu kiasi hiki.
Mtu anakwambia walioua wote wana hatia, ambao hawakuwa kwenye zile wanazoita vurugu, basi...
Ndio nini hiki ulichokiandika? Una akili kweli wewe au una utoko kichwani?
Hivi unaweza ukaua wewe halafu wewe huyo huyo uunde tume ya uchunguzi kisha utegemee watu wenye akili timamu tuamini hiyo tume?
Hiyo tume ya mchongo ipo kwa ajili ya kufuja hela za walipa kodi wa Tanganyika na kuwahadaa...
Hakuna msomi mwenye akili timamu anayetamani kufanya kazi na serikali hii inayonuka damu za watanganyika wasiokuwa na hatia, wasomi wanaofanya kazi na muuaji samuya ni hao wajinga wajinga kama Kabudi na kitika mkumbo...
Mtu kama Prof. ANNA ambaye hana njaa za kisenge kisenge kama akina Kabudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.