Recent content by Shahed kamikaze

  1. Shahed kamikaze

    Hongereni Wabunge kujipandishia mishahara huku Watumishi wa Umma wakiishi kwa mshahara kiduchu

    Hii nchi kuwa mzalendo ni upumbavu, jitu linalipwa 18m per month nurse au mwl anadai malimbikizo ya mshahara sh.laki tano analipwa baada ya miaka 10 hela hiyohiyo na kodi juu, kama siyo upumbavu ni nini
  2. Shahed kamikaze

    Gavana Tutuba: Maisha Hayajawahi Kuwa Rahisi tangu mwanadamu alipoumbwa, fanyeni Kazi

    Huyu naye si alibebwa na u buhigwe wa yeye na phillip mpango tu
  3. Shahed kamikaze

    Historia ya Elimu ya Chenge kwenye website ya bunge ina walakini

    ujinga umekujaa kichwani uwe unasoma historian basi itakusaidia sana .unalinganisha nyakati hizi na hizo za kipindi kile
  4. Shahed kamikaze

    Dr Shein asema Mwinyi alipangiwa kufundisha shule haina wanafunzi ikabidi awe anapita mitaani kutafuta wanafunzi

    Je kipindi hicho kulikuwa na madharau dhidi ya walimu kama ilivyo sasa? Maana siku hizi kuna upuuzi Fulani dhidi ya walimu
  5. Shahed kamikaze

    Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

    Lissu mwezi mchanga yule,jingajinga tu
  6. Shahed kamikaze

    Nimelia sana nilipofika bwawa la Mwalimu Nyerere, kwaheri mgawo wa umeme

    Sifa ziende kwa Magufuli ingawa hayupo
  7. Shahed kamikaze

    DOKEZO Wagonjwa wanapewa magonjwa ambayo hawana ili Zahanati ziuze dawa

    1.U.T.I 2.Typhoid 3.Uric acid Ni deal siku hizi
  8. Shahed kamikaze

    Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    1.Ngono kwa kwenda mbele,watu wamepewa mi GP mikubwa kwa kugawa uroda kwa lecturers na haohao unakuta wameajiriwa hapo hapo chuoni unategemea nini. 2.Kuna ukabila wa kutisha, watu wanabebana kwa misingi ya kikabila wanapeana tu hiyo mi GP then wanapeana ajira vyuoni unategemea nini.Cheki Mzumbe...
  9. Shahed kamikaze

    Wananchi kukimbilia kwa Makonda kueleza kero zao je Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wameshindwa majukumu yao?

    Mama angevunja baraza la mawaziri, apige chini wakuu wa mikoa na wilaya aweke vijana waliotoka vyuoni juzi aone watakavyopiga kazi siyo hii mizee inayojidai kujua kazi hakuna lolote
  10. Shahed kamikaze

    Wananchi kukimbilia kwa Makonda kueleza kero zao je Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wameshindwa majukumu yao?

    Siyo wakuu wa wilaya tu hata mawaziri wamelala hakuna kazi wanafanya wako busy na mambo yao binafsi
Back
Top Bottom