Recent content by mugwara the great

  1. M

    CHADEMA na Wenzenu ni nini Tamko lenu kwa Vijana 23,000 Na Hatima Yao?

    Ulieandika post hii nadhan umekunywa gongo, SIJAELEWA KAMA CDM Wanahusikaje na kudahili wanafunzi watakao jiunga na vyuo vikuu. Aidha kama hujui kaz ya kudhahil wanafunz inafanywa na wateule wa MAGAMBA hvyo ndo unatakiwa kuwauliza hao waliokosa nafas ya kujiunga na vyuo waende wapi. Hata hvo...
  2. M

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Ongezea wafuatao kutoka chama cha MAGAMBA -JOB NDUGAI WASIRA PATEL (babat) SANING'O TELELE ZUNGU , et al
  3. M

    Tumepotelewa na mbunge wetu

    Mkuu "The people nakupa pole kwa kupotelewa na mbunge wako , sisi huku pinyiny alipta mara ya mwsho wakat wa kura za maon hadi leo hakuja hata kusema asanten. Ningejua ningeshawish wamasai wenzangu tumpitishe mzee mmoja aliekua anagombea nae tena alikua mzee mzur sana anaitwa Pius Pongo huyu...
  4. M

    LOLIONDO: Waziri Mkuu Pinda na msafara wa magari 38

    mkuu ongezea no 13: RSO(AFSA USALMA MKOA). 14:WAZIR WA ARDHI NYUMBA NA MAKAZ. 15: NAIB WAZIR WA MAJI. 15: NAIB WAZIR WA ELIMU aka majaliwa. Sambamba na wakuu wa idara zote wa halimashaur. Ongezeen wengne wadau
  5. M

    LOLIONDO: Waziri Mkuu Pinda na msafara wa magari 38

    Wadau tarafa ya sale ,hapa namwona mzee wa wapigwe tu anapata kikombe cha babu na baada hapo anapta digo, mugholo(gheeri), na kupitia ngarasero. Ameshangaa kuona bendera za CDM zikipepea juu ya paa za nyumba za nyasi na katka nyumba za bati. Chezea mabadiliko wewe hata huku home sonjo...
  6. M

    LOLIONDO: Waziri Mkuu Pinda na msafara wa magari 38

    Dah, kweli hapa PM ameshndwa kutamka kauli tulioisubir kuwa eneo alilopendekeza kagasheki sasa amelipunguza na badala yake anasema hivyo inamaana tuingie hukohuko kwa mwarabu tukajichanganye wote.wakat mwaarabu anawinda sisi tuanachunga rahaaaaa kwelkwel kwa kauli kama hiz. PINDA KIJORI...
  7. M

    LOLIONDO: Waziri Mkuu Pinda na msafara wa magari 38

    OOYEEEE MAAA! Ehomo Ngulugoni lewa. Mkuu mm nilikuwepo kiukwel jamaa ame2fanya kama mateja eti "tuendelee kama tulivyokua" tujipange maaa! Tukachunge na tupeleke ng,ombe wetu wooote kuko na hata majiran wetu wa kenya tuwakarbishe tena waje.
  8. M

    Mwigulu na uongo wa mkutano wa Calfornia U.S.A ; ahutubia watu 16

    Naona anaiga tembo kunya..............CDM ni tosha
  9. M

    Hamis Mgeja afagilia Edward Lowassa

    siasa za kujitengenezea ulaji kwa kizazi chake huyo
  10. M

    hellow

    just to say hello to great thinkers.
Back
Top Bottom