Recent content by Mughwira

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuporwa kwa mafao ya wafanyakazi: Dhambi ya Bunge au tunalishwa 'matango pori'?

    Mbona umeficha identity ya Mbunge wakati yeye aliitoa as public information. Stop plagiarising!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania RC Tanga: Serikali inataka kuwasaida watanzania wasitapeliwe

    Serikali yenyewe inalalamika inatapeliwa na wawekezaji kila siku huo ujanja wa kuwajali wananchi imeupata wapi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Repoti za kamati ya Prof Mruma na Prof Osoro, zimekivua nguo Chama Cha Mapinduzi na serikali yake. Repoti zimesheheni uzembe, ifisadi, wizi, nk wa hali isiyo mithilika. Kwa mwanachama wa CCM au kiongozi wa serikali kujaribu kuhamisha mjadala kwa kusema sijui Tundu Lissu kapewa data ni ujinga wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara kulikoni, serikali imeusahau?

    Fuatilia nimeambiwa anaitwa Bomba Maji Tanzania
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara kulikoni, serikali imeusahau?

    Ndugu mkoa wa Mara una shida ya ndani ya mkoa wenyewe hata si serikali, unayotaka kuitupia lawama. Sasa mnatakaje maendeleo wakati mnafukuza wawekezaji? Kwa mfano wilaya ya Rorya na Bunda nimesikia kuna mwekezaji alikuja kuwekeza kwenye sekta ya Maji kwa kufufua miundombinu ya maji ya Shirati na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Dadavua ni kivipi ni tofauti kabisa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Ndugu wanajamvi, baada ya rais Magufuli kutangaza baraza la mawaziri. Kuna members humu walikuja na pendekezo kwa rais amteue Dr. Ndalichako kuwa mbunge na amkabidhi wizara ya Elimu. Nina Imani pamoja na maono yake rais pia alichukua ya hapa JF. Baada ya kusema hayo naomba jukwaa hili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nassari wafurushwa kwa Mabomu

    ukweli ndio huo Mkuu una Maelezo tofauti? leta Hoja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nassari wafurushwa kwa Mabomu

    CCM wamepunic Mkuu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nassari wafurushwa kwa Mabomu

    check my updates...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nassari wafurushwa kwa Mabomu

    yes sijakataa ila kwa nn wasinegotiate tu na vyama kama ratiba zimeingilia? ccm wanatumia siasa za vitisho ili wananchi waone wapinzani wana fujo, wrong approach.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nassari wafurushwa kwa Mabomu

    sikuona haja ya mabomu wangeweza kuongea tu kwa sababu kilichokuwepo ni Gari la matangazo na wananchi wengi kiasi. Polisi busara ni ndogo sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nassari wafurushwa kwa Mabomu

    Wakiwa wamejipanga kumsikiliza mgombea wa Chadema Bw. Joshua Nassari wananchi wa Usa River eneo la Leganga wamevamiwa na Polisi Na kupigwa na mabomu yasiyo hesabika. madai ni kwamba Leo ilikuwa zamu ya CCM. sina uhakika sana na Madai ya Chama tawala. Update: Leo CCM walikuwa wana mkutano wao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Kiboko ya CCM

    ni nani mgombea wa MaCCM
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Kiboko ya CCM

    Kikao cha Kamati Kuu ya CCM imeshindwa kutengua kitendawili cha mtu mwenye sifa ya kusimama na Tundu Lissu Singida Mashariki. Mpaka sasa mgombea wa CCM hajafahamika. Kusema Lissu anapita bila kupingwa?
Back
Top Bottom