Recent content by mugere

  1. mugere

    Kilimo kiwe sasa kipaumbele na sio kwa sera

    Nimepitia sera ya Kilimo hapa nchini. Ni sera nzuri na sera nzuri kuliko sera zote.Kilimo ukifundishwa darasani ni kizuri.Lakini practically ni kazi ngumu. Kinataka tija na ujuzi pia mtaji kwa kilimo cha kimapinduzi. Bila shaka kwa hesabu za kawaida ndio prime source ya kuangalia wakati...
  2. mugere

    Kuna ongezeko kubwa la watu mahakamani

    Ninaona sasa kuna ongezeko la kutisha la watu mahakamani.Mahakama zinafurika.Nimejiuliza mambo mengi kwa kuwa nilitegemea kutokana na kasi ya sasa hivi viashiria vya wateja wa mahakama kushuka angalau.Mahakama za mwanzo zinakuwa full muda wote,mpaka wakati mwingine mpaka saa 11 za jioni,baada ya...
  3. mugere

    Ndoto zangu za Alliance on Socialism Transformation(AST)

    Baada ya kushiriki uchaguzi mkuu nikigombea kiti cha ubunge Biharamulo Magharibi na kujionea hali halisi ya mchakato wa siasa. Nikajawa hofu. Sasa nimepata njozi ya wazo la ALLIANCE ON SOCIALISM TRANSFORMATION . Nchi yetu ya Tanzania inahitaji sera maalumu. Mwalimu aliona mbali sana. Nchi yetu...
  4. mugere

    Sylivand Mugere - Hatimaye najipima ubunge Biharamulo Magharibi kwa tiketi ya DP

    Soon otaona CV yangu na kweli ninafaa,lakini unajua nitawashaishije kwa wingi maana mimi si mfalme!
  5. mugere

    Sylivand Mugere - Hatimaye najipima ubunge Biharamulo Magharibi kwa tiketi ya DP

    Kwa siasa za sasa hivi sio zile zetu za zamani. Zamani kulikuwa na wakereketwa kama political activist wanaotaka kupanda majukwaani,wakihamasisha mabadiliko, sasa ndugu mambo yamebadilika na kujirudia nchi hii sasa itatawaliwa kifalme.That is moving from political activism to development...
  6. mugere

    Sylivand Mugere atangaza nia ya kugombea Ubunge kwa tiketi ya DP Bukoba Vijijini

    Ninarudia kwa mara nyingine kwamba nimetia nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya DP Bukoba Vijijini. Kazi nilizofanya na uzoefu utaupata kupitia Google angalia Facebook/hnhtz, mugerebusinessfarm and development consultancy,human rural and urban multisectoral advancement,huruma natural heritage...
  7. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    kabla sijafika Dodoma, nilifikiri hata ingekuwa mbunge ningekosa hata kushindwa kujieleza kama yule bwana x.mimi nilifikiri spika hutoa nafasi kwa kipimo cha mali.lakini nilishangaa kuona viongozi matajiri wakikosa ujasiri,nilifikiri mwanzoni huwa kuna michango ya fungu la 10 kwa wabunge maana...
  8. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    Huyo anayedai Rweikiza kafanya mengi alitarajia kusema na Rweikiza English Medium kwa nyongeza yake ya umeme wa REA.Maana wakati ule wa Rweikiza cup wananci waliahidiwa kusoma bure kwenye shule mpya ya mheshimiwa.
  9. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    Mojawapo ya changamoto inayotukabili watanzania na wakazi wa Wilaya ya Bukoba Vijijini ni zile fikra na dhana iliyotulea- Mgeni hupendwa na kutukuzwa,na historia ya chaguzi za Wabunge katika Buhaya yaonyesha wagombea wageni takribani asilimia 90 walichaguliwa dhidi ya wakazi wenyeji asilimia...
  10. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    Naombe utembelee face book soma page iliyoandikwa Democratic party DP -Tanzania ambapo mengi kuhusu chama chetu yameandikwa
  11. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    Naombe utembelee face book soma page iliyoandikwa Democratic party DP -Tanzania ambapo mengi kuhusu chama chetu yameandikwa
  12. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    Hakuna mfalme katika siasa,hakuna aliyesomea siasa,hakuna chuo cha itiakadi ya siasa sambamba na vile vya enzi zile...za mashariki. Swala la mabadiiko ya kiutawala ni muhimu,hii ni wakati sasa wa kurejesha zaidi madaraka kwa wanufaikaji wananchi.Hii si ajira.No.Watekelezaji wakuu wa mipango ya...
  13. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    No,Nimwesema mimi ni Sylivand Mugere,jina langu wengi wananielewa,....Nimezaliwa hivi nilivyo of course mimi si Waitu inya person. Ni jasiri,
  14. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    Jamani, Mimi ni mzaliwa na naijua jiografia vizuri na syle ya maisha yetu, hayo ninayo yasema ni sahihi muwe mnarudi. Sio kuja wakati manakuja kuwekeza either kwenye siasa au mali.Umaskini wa jamii usiwe stepping stone.
  15. mugere

    Matarajio yangu mwaka 2015 kwa jimbo la Bukoba vijijini

    Listen my dear,Iam not looking Bukoba Rural from the Internet or rather dreaming from Rex hotel in Dar Es Salaam or Changu ni Chako in Dodoma,I was born,grown up,studied,worked and lived in Bukoba Rural.Whoever speaks of hunger is right,it might be you have not currently visited the area,those...
Back
Top Bottom