Recent content by mugebuka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wa Marekani wanastaafu utumishi mapema?

    Umetisha sana maana huku Malawi wananenepa wanaota mpaka vitambi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wa Marekani wanastaafu utumishi mapema?

    Naomba wajuvi wa mambo wanasaidie nifahamu ni kwanini wanajeshi wa marekani wanastaafu mapema ukilinganisha na huku kwetu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna ipi unaweza kupata taarifa za kweli wakati wa vita vya nchi mbili tofauti?

    Ni wazi kuwa ukweli ni muathirika namba moja kupingi Cha vita inayogonganisha nchi mbili tofauti hasa zinazotofautiana kiimanj na itikadi. Propaganda imekuwa silaha muhimu sana hasa ikitumika vizuri na upande unaelemewa kama sehemu ya kutafuta huruma au kujipiga konde kifuani ili kumkabili...
Back
Top Bottom