Recent content by Mugabe Jr

  1. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Nafazi za kazi kampuni ya Gardaworld

    Dogo ulipata
  2. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Baba kakasirika baada ya mdogo wangu kuachana na kozi ya sheria aliyomshauri asome

    Je wale wanaosoma bachelor ya elimu ya dini ya kiislamu with law inaitwa kitu kama vile bachelor OF SHARIA WITH LAW,,, PALE CHUO CHA MOROGORO (MUM) wao wanatambulika kama wanasheria na wanaruhusiwa kujiunga na law school
  3. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Kuna wengine wanasema ajira kigezo kiwe GPA ya 3.0 daah [emoji16] ]
  4. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Leo tar 12 April 2022, Serikali yatangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi. Zaidi ya billion 40 kutumika

    Labd ualm ndo wamezoeshw hivyo. Kada nyingn Hamnaga kitu cha aliyemaliza zaman wote n gombania goli
  5. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Dereva anakula bei gani? Hapo mamlaka ya kina zakayo
  6. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Nimekuelewa chifu, ila uzoefu unakuja kwa ku practice ulichosomea. ]
  7. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Siyo sauti tuu, inamsuli pia wa budesti kukufanya ufike kilele shwaiin
  8. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Daaaaaah wawe wanaacha fair competition haijalishi mtu kamaliza lini.
  9. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    JAMANI MWALIMU ANATUDHARAU SISI MADEREVA. HAJUI HATA MWALIMU PIA NI DEREVA ANAYEWAONGOZA WANAFUNZI WAKE. [emoji16] ]
  10. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    KWELI HII KADA WANALIA LIA SANA!!!! Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  11. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    Wivu upi chifu? NI TAASISI UCHWARA AMBAYO INAWEZA KUMUAJIRI MTU KWA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI. LABDA ANGESEMA AMEANZA KAZI ZAMANI HIVYO ANA EXPERIENCE YAKUTOSHA, ILA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI NI CHA KIPUUUZI. Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
  12. Mugabe Jr

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

    [emoji16] wewe kweli mwalimu mbona napatwa mashaka? Hebu pita hapo N. I. T uniambie umekuta ma housgirl wangapi? Kama driving anafanya yoyote wewe na housgirl wenu mnasubiri nini sasa kutuma maombi ajira portal? Mpaka unakuja kulia lia huku eti umemaliza zama za kati za mawe [emoji16] uhurumiwe...
Back
Top Bottom