Recent content by Muga_Thachamp

  1. Muga_Thachamp

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    mwanza imeipita Arusha pakubwa tu, kwanza kimiundombino, Mwanza ipo katika njia kuu ya uchumi wa nchi (central corridor), ina uchumi wa bluu (uvuvu, usafiri wa meli, ufugaji samaki etc), mwanza ni makazinmwa matajiri wengi wachimba madini huko Geita (kwahiyo Arusha hamna maajabu na mererani kuwa...
  2. Muga_Thachamp

    Mwanaume jenga utamaduni wa kurudi nyumbani na mfuko wa sokoni

    zingatia neno ukirudi utakimbiliwa kupokewa, hiyo hela ukiwaachia ukirudi hawakukimbilii maana hauna cha kupokelewa halafu mitoto itajua mama ndiye mnunuzi wa vitu, bila kuzingatia baba ndie mtoa hela, ila ukirudi navyo mwenyewe, watoto hawatosahau kuwa baba alikuwa hodari analeta vitu nyumbani...
  3. Muga_Thachamp

    Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

    hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho, hakuna marefu yasiyo na ncha, CCM ina mwisho wake, ila huo mwisho utakuwa ni bonge moja la simulizi la kusimuliwa miaka ya 2100 na 2200 huko sasa ili hiyo stori inoge pindi vitukuu vyetu wanasimulia wajukuu zao, hali lazima iwe ngumu ili stori iwe na...
  4. Muga_Thachamp

    Aliyeanzisha usafiri wa mwendokasi sidhani kama alikuwa na mpango wa kuwatesa watanzania kiasi hiki

    unaambiwa mradi wa mwendokasi ndio biashara ya kwanza duniani kufa kisa imezidiwa na wateja ila mimi ninachokiona, mradi ulipoanzishwa, alipewa mtu asiye na uzoefu wa biashara ya usafiri kusimamia, halafu mate yakawatoka kwa yale manilionibya nauli yaliyokusanywa wakaona mradi ndio pa kupigia...
  5. Muga_Thachamp

    Kwanini matajiri wa China na Arab hawaasili (Adoption) watoto weusi kama Wazungu? Daah, God bless America

    mbona watu wamezaa na wachina na hao waarabu??? wewe kweli unataka mke au demu wa kugongaga? kama demu kweli kwa wazungu utapata ila hao wachina na waarabu bado wana mtazamo wa kinyakyusa, kugongana hovyo kwa mwanamke kwao ni umalaya, hawagawi hovyo
  6. Muga_Thachamp

    Mama kanikimbizia mchumba wangu

    Kuzaa na kulea watoto??? Hiyo sio kazi ??? Fikiria anatumia maisha yake kuzaa na kulea kizazi kinachobeba jina la ukoo wako na sio ukoo wake yeye. Mitoto yako pengine haina hata shukrani, anaizaa kwa uchungu, anainyonyesha na kuifuta mavi hadi wawe wakubwa, huo muda si angeutumia kujitafutia...
  7. Muga_Thachamp

    Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

    Kwahiyo kanda ya ziwa kila mtu ni msukuma? Hakuna wanyamwezi ? Hakuna wajita ?
  8. Muga_Thachamp

    Mlenda wa unga unatokana na majani gani na yanapatikana wapi?

    Ule unga unaitwa mwage, waluguru ndio mboga zao
  9. Muga_Thachamp

    Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

    Kweli kuzaa sio kupata. Mitoto ya siku hizi inataka kutunza mzazi ni mpaka aachiwe urithi walau wa mbuzi.
  10. Muga_Thachamp

    Je, ni kweli kwenye Quran kuna kifungu kinaruhusu kuua wasio Waislamu?

    Yani wewe unapick mstari mmojammoja bila kuleta sura nzima, unajua kuwa hiyo mistari inaendana na sura inachozungumzia. Unachofanya hapo ni upotishaji, maana unatoa aya bila context
  11. Muga_Thachamp

    Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Uislamu unamkiri Yesu yeye ni masihi, ila hauamini kuwa yeye ni Mungu ama yeye alisurubiwa kwa dhambi zetu,
  12. Muga_Thachamp

    Jumuiya za Kikristo toeni tamko la kupinga mdahalo unaolenga kudhalilisha ukristo

    Hichohicho ndio mtoa posti alitakiwa kufanya mtoa mada. Picha linaanza kakosea kunukuhu, kaandika jina la mdahalo ni Jesus vs Mohammad, kana kwamba kutakuwa na battle, Wakati jina la mdahalo ni Jesus and Muhammad Hakuna battle yoyote hapo kutaka kuzua taharuki
Back
Top Bottom