Recent content by muembeni

  1. M

    JamiiForums Tanzania IGP Mangu awasimamisha kazi askari polisi 12 wanaodaiwa kujihusisha na mihadarati

    IGP inabidi ajiuzulu kwa kushindwa kazi yake.Yeye kama mkuu wa jeshi la polisi lenye dhamana la kuwalinda raia alishindwa kujuwa kuwa alikuwa na askari wauza unga au alijuwa lakini aliendelea kuwaficha mpaka mwanasiasa ndio amekuja kuwafichua.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    waende wakamkamate makamba Jr yeye amemtangaza mpaka mshindi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akabidhi Polisi Magari 399 mapya kati ya 777 leo Kurasini jijini Dar es Salaam

    Kikwete watanzania wataiondoa ccm madarakani kwa njia ya kidemokrasia ya kupiga kura na wala huna haja ya kuleta vifaa vya kupambana na mapinduzi ya kumwagika damu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna njama za kumuangusha Nape

    Magufuli hizo haziitwi njama bali ni kampeni za uchaguzi ya kila mmoja kumpigia kampeni yule anayemfaa na wala si dhambi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wandugu tushauriane kwenye hili la NEC (Urais)

    Nafikiri ipo haja ya kuiomba azam tv iwe live siku ya tarehe 25 na ipeleke ripota wake ktk kila wilaya atleast na huyo ripota awe na wasaidizi wake kika kituo na ripota wa wilayani apekeke Dsm kila matokeo anayoyapokea na yawe yanajumlishwa live ktk tv.wakihitaji wadhamini azam wasaidiwe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi kutoka UKAWA wajiunga na kampeni za CCM

    waende huko ccm ndio chama cha wasanii kuanzia raisi wao ndie msanii mkubwa na wengine wanafuatia.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusichague marobot

    Inasikitisha sana kuona kuwa rasimu ya katiba iliyokuwa ikiungwa mkono na zaidi ya asilimia 60 ya watanzania iliyeyuka hivi hivi kupitia kwa wale tunaowaita wawakilishi wa wananchi tuliowachagua wenyewe (wengi wao). Hao wawakilishi wetu walikuwa mwanzoni ni watetezi wa katiba ya walio wengi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ccm muisifilizi hazina ya serikali kwa kuhonga vibaraka wenu

    Katika kutapa tapa kwenu CCM naona munahonga hela kama muna kiwanda .Ole wenu UKAWA ikichukuwa madaraka na kupitia mahesabu m na ikigundulika kuwa munatumia hela ya serikali katika sakarat lmauti yenu basi kila muhusika atakuwa na kesi ya kujibu.Na kama Magufuli anatumia ndege ya serikali ktk...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Magufuli, anavyo fananisha mabadiliko ya Tanzania na yale ya Libya

    Always pick someone who preach hope over someone who preach fear. The choice is clear.
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    Believe earnestly? U mean honestly?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pinda apokelewa na Naibu Waziri Botswana

    jamani muachieni naye Pinda asafiri japo kidogo hiyo ndio ziara pekee ambayo Kikwete ameacha kuenda yeye ndio mtoto wa mkulima nae akaone aambulie.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Nape Jimbo la Mtama Selemani Mathew Luwongo, ahamia CHADEMA

    jamani muachieni Nape naye apate atakufa njaa akikosa ubunge maana baada ya kushindwa uchaguzi uongozi wote wa ccm utavurugika wasitambuene tena.Si hasha ukamkuta Nape yupo kariakoo na mitumba yake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wapiga marufuku maandamano kwa vyama vya siasa

    Ccm wanatafuta sababu ya kuanzisha fujo wapste kuakhirshs uchaguzi wamesjindwa kablavya kuingia uwanjani.makini...!! Na najua hili limetokea baada ya kuona mafuriko ya Lowassa ya juzi...!! Sbb Magufuli alianza 3 weeks ago akifanya maandamano na mikutano hakuna CHOCHOTE JESHI LA POLISI...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi kwa Prof. Ibrahim Lipumba

    kheri hivyo alivyoondoka kibaraka huyu maana alitaka apeperushe bendera ya ukawa na halafu aje amwage vimbwanga one week be4 election na awaache ukawa wakiwa uchi bila ya mgombea
  15. M

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Kampeni, Uchaguzi na Matokeo - Je, haya yanawezekana?

    inawezekana kabisa kwani sio lazima aende kila wilaya kwa mfano kule Pemba kuna wilaya nne anaweza kuzifilia zote kwa kuwahutubia watu wote sehemu moja na kwa Ungujua anahitaji siku tatu kwa kuhutubia kila mkoa mara moja and so on
Back
Top Bottom