acheni kujifanya mnauchuuuungu namuungano! wakati mnajua muungano ushavujwa ivi mnaweza kuwa na ndoa yenye maslahi inayosimamiwa na majeshi ili msipigane humo ndani ya nyumba
tunazinguana 2 wanajua kinacho endelea tusishangae ck moja tukajatukakosa hata sifa na uhalali wa kujiita watanzania mbele ya jumuia yakimataifa kama zanzibar itaendelea kujiiimarisha kidola
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.