Pole dogo wangu,
Acha hiyo kitu, tuliza akili yako na soma hapa chini!!!
Pole saana CHEUPE Josephina,
Ushauri sahihi ni huu hapa: Nenda hospital, mwone daktari, utapimwa, na hope utapewa tiba sahihi. Mimi nilisumbuka saana, niliibiwa hela, nililishwa pumba nyingi mnooo. Sikupata tiba. Hata...