Recent content by mudhakiru Dauda

  1. M

    MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

    Hapo kwenye "Bon" ina maana kubenea hagombei 2020?
  2. M

    MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

    Kwa woga wa "wadosi" na akikumbuka kilichompeleka "Gymkana" naamin akiamriwa kwenda kokote atakwenda aisee!
  3. M

    Asilimia kubwa ya wafanyakazi na wateule wa Rais wanamtukuza kiunafiki

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nchi ya vi-wonders
  4. M

    Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    Nonsense! Kwani ile ya Raisi si ipo? Na kama vipi si wapeleke malipo kamili turudishiwe ndege yetu? Zaid km ni muhim si wabadilishe wapeleke nyingine hiyo irudi?
  5. M

    Waenda mahakamani kuomba kufutwa kwa ukomo wa Urais. Wadai ukomo unazuia maendeleo. Ni mkakati wa kufanya urais usio na mwisho Tanzania

    Always mbwa hapandi/hakwei miti. Ukimuona mbwa juu ya mti jua kapandishwa. Goli la mkono ndo limetufikisha hapa
  6. M

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu: Mimi ni namba 2 Tanzania, sina cha kunishawishi kuwania namba 3

    [emoji1787][emoji1787]acha uchochezi ati "kutembea na mkasi"
  7. M

    Makamu wa Rais, Samia Suluhu: Mimi ni namba 2 Tanzania, sina cha kunishawishi kuwania namba 3

    Iko hivyo maana Raisi wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri ambalo linaapishwa na kusimamiwa na Raisi wa JMT au Makamu wake. So VP wa JMT ni boss wa Raisi wa Zanzibar
  8. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya Serikali dhidi ya Lissu, Shauri la msingi kuendelea kusikilizwa...

    Fact. Ndo maana hata siku wakili "uchwara" alipotaka mahakama imfutie dhamana hakim aligoma
  9. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu: Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya Serikali dhidi ya Lissu, Shauri la msingi kuendelea kusikilizwa...

    Nonsense! Alienda kutembea au kwenye biashara zake malengo yenu Mungu muumba aliyatokomeza korongoni na sasa anapumua
Back
Top Bottom