Umechangia vizuri na inapendeza, lkn ni vyema unapochangia ktk uwanja km huu jitahidi uwe na uhakika, suala la kua leseni ya jamhuri ya muungano haitumiki zanzibar ni uongo, na wala halina ukweli wowote, leseni ya jamhuri ya muungano inamruhusu mwenye leseni hio kuendesha chombo chochote ndani...
Mkuu, hadi saivi zanzibar imeshaingia mkataba na nchi ya israel kuzalisha umeme kupitia mawimbi ya bahari lkn pia china ambao wamepewa eneo moja ambalo linaitwa fumba kuzalisha umeme pia, km hio haitoshi imeshaingia mkataba wa kujenga bandari kubwa ya mizigo katika maeneo ya mpiga duri, kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.