Recent content by muddy82

  1. M

    Je ni Haki Tanzania kuingilia uchaguzi wa DRC na kupeleka Wanajeshi wetu?

    katika karne hii ya sasa, na siasa za kimataifa, hakuna tena "sovereign states", cross border activities hasa kwenye biashara, uwekezaji, vita, magonjwa vinalazimisha tatizo la nchi moja kuleta madhara kwa nchi nyinginezo hasa zikiwa nchi jirani. hv mmeshawahi kufikiria kama kupotea/kuharibika...
  2. M

    I think We are too young to be stressed:

    endelea na maisha and tell him/her the truth, it will hurt ila atazoea baadae
  3. M

    Natafuta mganga wa kienyeji ayaponye mapenzi yangu

    Preta maisha, umbali ulitutenganisha, sasa nimerudi naona mambo sio sawa kabisa
  4. M

    Natafuta mganga wa kienyeji ayaponye mapenzi yangu

    Nina shida wanajamii, nipo mbioni kupoteza penzi nililowekeza kwa muda mrefu. Natafuta mganga wa kienyeji (mkweli) aweze kuliponya hili penzi kwani sipo tayari kuliachia, ikibidi nichukue jumla jiko. Nipo serious kwa anaeweza kunisaidia. Asanteni
Back
Top Bottom