Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History
Niko tayari kwakazi yoyote itakayopatikana iwe ni kiwandani au kampun au shule
Namba yangu ni 0693206150
Siwezi kueleweka kwasababu haya mambo ni mageni kwangu kwahiyo nifafanulie wewe nifahamu kama in passport nijue au km ni Permit nijue.. mimi nilisikia Kuna kibari cha mda mfupi sasa cjui ndio passport au mini ndiomana nimekuja hapa kuupata muongozo nasio kejeli wala malumbano
Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam,
Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya.
Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika...
Vya udhamini lazima wawe wafanyakazi wenye vitambukisho vya kazu au lesen za biashara sasa wengne ndo tuko mjin kutafuta hao watu unawapata wapi wakukudhamin ...kitaa MTU akisikia kudhamin anajua tyr kesi hyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.