Recent content by mudchitwanga

  1. mudchitwanga

    Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Jobless,mkoroge Mbowe ndo utajuwa chama ni cha wananchi au mbowe na mkwe wake,,jiangalie wewe
  2. mudchitwanga

    Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Ernesto Che,Chadema sio rafiki kwako,km unataka kumjua mwenye chama uliza ruzuku inatumika vp km utaendelea kubaki salama
  3. mudchitwanga

    Viongozi wa CUF wamegoma kumnadi Lowassa?

    Hadi mashoga,acha bhana
  4. mudchitwanga

    Viongozi wa CUF wamegoma kumnadi Lowassa?

    Haji duni sio Cuf,yule ni chadema.....
  5. mudchitwanga

    Jimbo la Mtama: aliye hamia CHADEMA bado ni CCM, anavuruga mabadiliko

    Chadema ndo wakunyooshewa kidole,,wanapenda madaraka haooo...
  6. mudchitwanga

    Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Danya na we pumba kabisa,jf ndo kila kitu watu wanapata udambwidambwi we unataka taarifa upate vp......vumilia kusikia baya na zuri,,,,sio uambiwe mazuri tu utakuwa hujatimia......
  7. mudchitwanga

    UKAWA/CHADEMA mripoti hili NEC mara moja, la sivyo mtajuta muda si mrefu

    Viongizi wale wale tabia zao zile zile,,umri wao ule ule cjaona mtu makini hapo zaid ya kutuletea ukanda na ulutheri tu,maendeleo hakuna hapo
  8. mudchitwanga

    NEC: Hakuna kura zitakazoibiwa

    Hawana kitu hao ukawa,weupe tu nchi sio kichaka cha wahuni waende huko wakauze maduka.....
  9. mudchitwanga

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    LOWASA," ccm oyeeeeeee.....!! Imekaa vizuri hiyo hadi raha
  10. mudchitwanga

    Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    Nyie mnaojifanya mmesoma km kiswahili andika kiswahil,km kiingereza andika kiingereza sio kiswanglish hatuwaelewi,km wasomi wenyewe ndo nyie hata udiwani msiutafute......
  11. mudchitwanga

    Lissu amepata wapi ujasiri wa kumshambulia Dr. Slaa na familia yake?

    Ukweli msiukatae,,Tundu lisu nayeye bado kidogo tu watamkimbiza cdm wabaki wenye asili na cdm
  12. mudchitwanga

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Sio kweli amour,,nilishaona kipindi kimoja kwenye tv yao watoto wakiwa darasani wamekaa kwenye matofali...
  13. mudchitwanga

    Kubenea kumvaa Dr. Slaa

    Wenzetu mna visa nje,,mtakimbia nyie punguzeni tamaa tuna wazeee hata kukimbia hawawezi wajawazito,watoto kibao acheni tamaa wote muwe viongozi nani ataongozwaaa...?!
  14. mudchitwanga

    Kubenea kumvaa Dr. Slaa

    Bado kidogo tu chadema itakuwa km nccr mageuzi,twende tu
Back
Top Bottom