Hadi sasa sio ccm sio chadema sijaona mwenye kustahili kuongoza nchi hii...
" nchi masikini hazihitaji demokrasia ya kibepali, na ikiwa hivyo basi ujue nchi itakuwa masikini kwa karne zijazo ila watakao neemeka na umasikini huo ni viranja wa kidemokrasia".
Matokeo ya ukoloni mamboleo... Kwa utafiti wangu wa awali, kizungu kwa kushirikiana na kiserikali vimechangia kupoteza wanasayansi na wataalamu wengi katika nchi zenye watawala wenye mawazo kama yako. Tukibadilika hapo tu baaaasi tumetoboa....
Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye majukwaa.
Usahili wa walimu umefanyika na unendelea kufanyika kwa malengo yale yale ya Prof. Mkenda ila...
Upo sahihi sana ila hata hawa waosubili ajira wanatamani wangekuwa wanajishughulisha ila tatizo kubwa ni kwamba hakuna mahali kwa nyakati tulizo nazo unewaza wekeza nguvu na akili bila mtaji wa fedha. Tusijidanganye eti unaweza kujiakili kwa mtaji wa 50 elfu, hapo nikutafuta ela ya kula tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.