Nimeipenda kweli hii. Apo saaafiiiii, wakiwa ishirini hotelin itakuwa safi kweli. Tulianza na yule mzanzibari sasa saafiiii. ILANI ya chama chetu inatekelezwa. Kimsingi, mafisadi hawaangalii shule ngapi zinaweza kujengwa au madawati mangapi yanaweza kununuliwa kwa hiyo hela wenyewe wanaangalia...
Ila kazi kweli kweli, hata mimi siku nyingi nimekuwa namfahamu kwajina la Mlungu nashangaa mara baada ya unaibu waziri anaitwa Mlugo. Serikali yetu iko makini sana hata tuhuma hizi itajifanya haioni wala haisikiiiiiii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.