Annunaki miungu ya Wasumeri wa kale, Waakadi, Waashuri na Wababeli. Katika maandishi ya kwanza ya Wasumeri kuhusu wao, ambayo yanatoka kipindi cha Baada ya Akkadian, Anunnaki ni miungu katika jamii, kizazi cha An na Ki, mungu wa mbingu na mungu wa dunia, na kazi yao kuu ilikuwa kuamuru hatima...
Its ok.Bt nia yangu haikuwa kuionyesha jamii km mm ni mkwel au la.dhima ni kupeana elimu au ufafanuzi wa mada husika.sasa kwanini niongope kwa sala ambalo halinipi faida yoyote.Km unaona naongopa au natangaza dini its ok....
Imepita miaka kama kumi na saba tangu ili tukio na wala sio mwezi wa ramadhani uliopita ndugu.Na km bnadamu ambaye nilikulia katika familia iliyo kwenye upande wa uislam lile tukio lilinifanya kuzidi kuamini zaidi uislam na sio kuanza kujiuliza.Nimekuwa sasa,Kuna vng najifunza kwa kusoma,kuona...
Hapa hasa ndipo kwenye swali langu.labda niongezee kwa swala jengine ambalo nalo limekuwa likitokea mara kwa mara.Kuna watoto ambao wanazaliwa wakiwa wamehifadhi juzuu zote thelathini pamoja na mafundisho yote ya dini ya uislam.Wanaitwaga masharifu.Sasa hapo ndipo lile swali langu linapokuja...
Naomba nisaidiwe mawazo ktk hili.Miaka ya nyama katika nyumba ninayoishi lilipata kutokea tukio.
Ilikuwa ni usiku wa mwisho wa mwezi ramadhan,Dada yangu ambaye ndiye mpishi wetu wa miaka yote huwa halali siku hii.Badia,kachori na mapochopocho kibao ya chai huwa anayaandaa usiku huu.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.