Recent content by Muce

  1. Muce

    Msaada ku-uninstall window 8

    Ninauelewa kidogo wa computer hivyo hata ukinipa abc za kufanya nitaelewa, nitashukuru sana kama utanisaidia.
  2. Muce

    Msaada ku-uninstall window 8

    Nimeshazifanya sana installation za window ila hii imenitoa jasho, mara ya kwanza ilikuwa ina install inafika sehem inatoa error code halafu inagoma kuendelea.
  3. Muce

    Msaada ku-uninstall window 8

    Wadau computer yangu ilikuja na window 8 toka kiwandani sasa nataka kuibadilisha lakini inanisumbua haitaki kutoka, inawaka na kuonesha kwa kuna error wakati wa kuwaka na inaishia hapo haiendelei inataka nifanye recovery lakini nibonyeza key iliyonielekeza hakuna kitu kinaendelea, na baada ya...
  4. Muce

    Kiwanja kinauzwa

    hivyo vipimo ni mita au ft? je kimepimwa?
  5. Muce

    Microsoft lumia 532

    Nimejaribu vyote lakin bado inanipa ujumbe ule ule, mda mwingine nikiizima na kuwasha inakubali.
  6. Muce

    Microsoft lumia 532

    Tatizo sio network, tatizo lipo kwa sim ussd inaonekana kuna tatizo, japo kuwa muda mwingine inakubali, operation yeyote yenye ussd series za ussd ni tatizo.
  7. Muce

    Microsoft lumia 532

    Chief kuna kitu kinanizingua pale ninapotaka kufanya muamala kwenye mitandao yetu, kuna ujumbe una sema something wrong we can not process your request, hilo limekuwa linanisumbua sana hadi mda mwingine natoa line, sasa sijui ni setting ipi niifanye ili isinisumbue.
  8. Muce

    Microsoft lumia 532

    Nimechukua kwa 250000, ukitaka kuipata kwa urahisi nenda kwenye maduka ya midcom.
  9. Muce

    Microsoft lumia 532

    zipo kiongozi nimeziona kariakoo, zimezinduliwa march 2015, pitia google uone specification zake. bei yake wanaanzia 250000.
  10. Muce

    Microsoft lumia 532

    Asante sana kwa maelekezo, sasa kidogo naanza kupata matumaini sijapotea sana.
  11. Muce

    Microsoft lumia 532

    Asante sana kiongozi nimefanikiwa, hii version ya vietnam unaizungumziaje? nzuri au mbaya, nimekuwa nikitumia version za hungary na finland
  12. Muce

    Microsoft lumia 532

    Habari wadau, nimenunua lumia 532 made in vietnam, lakini inanizingua kuunganisha internet, naomba msaada kwa anayejua setting za kuunganisha internet. Nawasilisha.
  13. Muce

    Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    Daah mnenikumbusha mbali sana enzi hzo mdete primary 1992-1998 enzi hzo mwalim mkuu marehem s. Nyoni, nikaenda njoss 1999-2002 tukamkuta mkuu wa shule mwanyigu, wengne kama mbabe kasalile, dengeya, ngimba, tyson, komba, mbaya, kwa kifupi njombe ndio home, nakumbuka mambo pilau kwa maulusi pale...
  14. Muce

    Chanel zimepotea kwenye king'amuzi cha azam naomba msaada

    Nimejaribu kuingiza hzo freq za kwanza sijapata kitu ila signal ipo, hyo ya pili nimepata channels ambazo tayari zpo.
  15. Muce

    Chanel zimepotea kwenye king'amuzi cha azam naomba msaada

    Nilijua ni kati ya channels wanazotoa, nizakawaida ila mtoto wangu alizipenda sana channel zao ya katuni.
Back
Top Bottom