Dawa za mitishamba ni nzuri ila akikuambia kunywa vijiko viwili kunywa kimoja akisema kunywa kimoja wewe kunywa nusu dawa huwa ni kali sana japo zinasaidia
Tujiandae na uzeeni huku tukisali sana na kumuomba Mungu haya maisha unaweza jiandaa na ukaanguka Mungu ndo mpaji tuangalie fursa nzuri za kuwekeza fanya research
Sijui umewaza nini kwenye maisha madaraja yapo watu wa design hiyo wapo maskin tena ni wengi na wenyr uwezo wachache kwahiyo usidhan ukiingia humo utakua salama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.