Recent content by mubindi

  1. M

    CCM muombeni Mh Rais aongoze kipindi kimoja tu apumzike

    Mliambiwa kuwa hawakuwa na mtu wa kufit 2015 wakaamua kumsukumizia huyohuyo mambo mengine wangeyasort up mbele kwa mbele CCM oyeee
  2. M

    CHADEMA yazidi kukimbiwa na Madiwani wake

    Haaaahaaaaahaaaaa
  3. M

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Zimetumika leo kwenye kutunuku Kamisheni Arusha
  4. M

    Hizi ndizo mila na desturi za magazeti

    La tarehe ngapi Hilo mkuu?
  5. M

    Jaji Mkuu, Prof. Juma tuambie hujawahi kuwa mwanachama wa CCM?

    Hapo hakuna cha muda maana ameshaanza kuonesha yupo upande gani si unakumbuka juzijuzi aliongelea swala la Lissu kwenye vyombo vya habari
  6. M

    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali

    Tunataka aambatishe bank au transfer slip any supporting docs ili tuone Na tarehe pia.
  7. M

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Tena Facebook Na Instagram . Kwa watu tulioenda shule Tena tukasoma course moja inaitwa Legal Aspect of International Trade tumewalewa hao jamaa. Ila Kama ujuavyo wadanganyika 85%+ uelewa wetu si mzuri kihivo. We will take it for granted. Ndo maana nimeshangaa Mara waziri wa afya Anatoa...
  8. M

    Shehena ya mizigo inayosafirishwa katika viwanja vya ndege nchini yashuka

    Hapo Mr. Taratibu [P.o.l.e^2] atakuja kukanusha Na kusema huyo Mkurugenzi wa TCAA alikuwa anaongelea nchini nyingine Na siyo Tzania. Tunafunika makaa ya moto chini ya majivu eti watu wapite juu hawataungua. Nakuhakikishia wataungua tu Hongereni Lumumba Natoka Zimbabwe - Ujiji
  9. M

    Tanzanian MPs Msigwa na Lema KTN Kenya kuhusu Lissu n.k

    It doesn't matter how good or bad English speaker you may be but what matters is how good message and views you may deliver. The guys [honorables] have tabled down the situation we are facing as a nation. Even their expressions were so good. Remember those Mps can speak three languages 1...
  10. M

    Tanzanian MPs Msigwa na Lema KTN Kenya kuhusu Lissu n.k

    Haaa !!Their english was... Eti we ndo unajua kiingrishi
  11. M

    Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

    Bullshit go to hell
Back
Top Bottom