Recent content by mubi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Waziri anamhujumu Rais Magufuli kama kulipa kisasi?

    Wachina msimamo wao huwa hawaingilii mambo ya ndani ya nchi nyingine(internal affairs )
  2. M

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) yachukua usimamizi wa Benki ya China kwa kushindwa kulinda vigezo

    kihuni na dharau , wao hufikiri sisi ni binadamu wa tatu baada yao kwa hiyo wanatuzidi akili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kuondoka jimboni kwa hiari au kwa kuondolewa?

    KAZI TUNAYO WATANZANIA. NAKUMBUKA KWETU KUNA MZEE JIRANI TAJIRI WA NG'OMBE 8000.HUCHINJA NG'OMBE NA KUGAWA KWA WANAKIJIJI MARA KWA MARA. MZEE HUYO ELIMU YAKE NI DARASA LA NNE. SASA HIVI WAKO RADHI KABISA WAMPE UBUNGE MWAKA HUU WAMTOE MCHUMI , MHITIMU WA CHUO KIKUU. NAONA KAZI YA UBUNGE WAPIGA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye taarifa ya Ikulu, "wameiba mafuta," mbele ya waandishi

    wabukulu, mw'inga, sanji, kam'wana zina maana gani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuhudhuria hospitali bila kwenda msibani hii haitoshi na hakusaidii kitu wewe Magufuli

    UNA MGONJWA HOSPITALI NA KUNA MSIBA NYUMBANI UTAANZA KWENDA WAPI?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kukopa fedha nyingi na kutumia fedha hizo kugharamia miradi, huko mikopo hiyo ikilipwa na walalahoi, ndio kuchapa kazi?

    KAZI ZINAZOFANYWA NA SERIKALI NI KWA MANUFAA YA UMMA . KODI ZETU ZINAKWENDA MAHALA SAHIHI KWA USTAWI WA NCHI YETU. CHANGIA MAENDELEO KWA KULIPA KODI.
  7. M

    JamiiForums Tanzania WaNiger Wamjadili Waziri Wetu Baada Kukata Utepe Na Kuwasha Umeme Kwenye Nyumba Ya Udongo

    NYUMBA ZA MATOPE NA NYASI NI NYINGI SANA AFRICA SIONI AJABU HAPO . KINACHONIFURAHISHA WANANCHI WANAPATA UMEME
  8. M

    JamiiForums Tanzania WaNiger Wamjadili Waziri Wetu Baada Kukata Utepe Na Kuwasha Umeme Kwenye Nyumba Ya Udongo

    Tunataka kila nyumba ipate nishati ya umeme. UJENZI WA JENGO NI NGUVU YA KILA MWANANCHI
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tukishindwa kesi ya 'makinikia' wajumbe wake wapigwe risasi hadharani, fundisho kwa wataalamu waongo

    Vizuri kuwa na contract ya mfumo wetu iliyopitishwa na wananchi kupitia bunge letu.hiyo iwe kwa kila sekta muhimu
  10. M

    JamiiForums Tanzania ATCL yatua Entebbe, Waganda wafurahia uwanjani

    Is a good step forward.....something is better than nothing.Mungu tuakushukuru sana tuzidishie baraka zako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mbunge na DC kuchoma sindano za chanjo ni hatari

    Ni madaktari
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtiririko wa Elimu ya Mh. Makonda katika ngazi ya Kidato cha Nne unafifia

    haya yote ya tuhuma hizi ZA Cheti Chanzo ni dawa ZA kulevya....
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Paul Makonda baada ya Rais Magufuli kudai ni mfano wa kuigwa

    Mabaya yapi, kufuchua wauza unga?
Back
Top Bottom