Kwenye taarifa ya Ikulu, "wameiba mafuta," mbele ya waandishi

kwenye taarifa ya Ikulu kasema wameiba mafuta, halafu baadae mbele ya waandishi anakuja kusema "tusiwahukumu..."

Tumueleweje ??

Rais kigeugeu,mwongo,mnafiki na wa ajabu! Yaleyale ya kuagiza kuvunja nyumba za KIMARA huku akizuia za MWANZA zisivunjwe…!
 
tatizo hizo thread header huwezi kufanya editing kama
ukikosea...

Mkuu kasema "tusiwahukumu..."

lakini ni yeye ndio kwenye taarifa yake rasmi kasema tuache tabia ya kuiba mafuta...

huko sio kuhukumu?

Unaibaje mafuta kwa kuyachota kwenye udongo ????

Mwenyewe mwenye tanker alikuwa na mpango wa kuja na vibuyu kuyachota kama wale "wezi" ???
Mbona ni kama hutaki kujua chanzo, gari imeanguka mafuta hayakuwagika, watu wamekuja wakafungua mifuniko au koki za tanker, sasa huo sio wizi??unafungua mfuniko hiyo ni mali yako?? hata kama yamemwagika kwenye udongo chanzo cha kumwagika unakiona, umemuomba nani kuchota hayo mafuta kwenye udongo?? ni yako?? wenye tanker wamekuambia hawawezi kuyachota tena??
 
wenye tanker wamekuambia hawawezi kuyachota tena??

wenye tanker hawawezi kuchota tena yale mafuta kwenye udongo kwa sababu watashtakiwa kwa kuuza mafuta machafu... jiongeze, tumia akili

Haiwezekani hata siku moja kuwa paraffin ina flash point ndogo kuliko petrol, unless hiyo kerosene ikiwa na maana plane fuel.

nimekwambia kerosene ina flash point ndogo kuliko diesel, nenda kanisome tena, acha kukurupuka!

Rais kigeugeu,mwongo,mnafiki na wa ajabu! Yaleyale ya kuagiza kuvunja nyumba za KIMARA huku akizuia za MWANZA zisivunjwe…!

yale yale ya kuwaambia wengine wahamie Dodoma lakini yeye kagoma
 
Back
Top Bottom