hayo mavitu ni sayansi and art brothers and sisters...sayansi kwa maana ya kwamba mwili unaendeshwa kama mashine and so efficiency inapungua with time na matumizi pia..the more you use the faster vipuli vinachoka! so waweza choka kiutendaji kabla ya umri wako kufika.
art kwa maana ya kwamba...
Kuwa muwazi na kumweleza mwenza wako ni condition inayotakiwa ku-prevail since mnaanza kuwa close..so leakage kama hiyo ingekwisha kuwa solved without knowing....people wanaingia kwenye mambo haya kwa ufisadi and so hata ikitokea issue kama hii wanaanza kufikiria abt kufichaficha...tujifunze...
Kitatange...not always that you'll have to choose between the two alternatives...other things works antagonostically..
All in all we are living to fill each others bits guys...hata kama sipo fit kwa hili...nipo fit kwa lile...these wajombaz should know that..waishi kwa kuchukuliana, i hate...
No,make them one thing....mapenz na mapendo together..how is that?
Well mapenzi ni feelings zako hormonaly controled(cns) but mapendo is a spirit..heartly controled...this things are controled with two different centers in the brain...hapa biology inaingia zaidi guys but inshort ni mambo ya...
Duh!nlimaanisha kama hujaona leo utaona kesho..not you dude!but since binadamu hawezi kuishi maisha ya binadamu wote..maisha mengine twayaona kwa jirani..utaona hata kwa mtaa..
Well people system ya love...nlimaanisha love in its core..mpaka definition ya love mmeshai-formulate! You guys ni...
Duh!umemwaga mistari ya ukweli mr/miss...enewei, high 5 to you,i wasn't aware if love matters are bound to culture...well in presentations yes, but ukweli love is an independent varriable to norms, culture, formula etc. People wanaingia kwenye system ya love kutokana na desires zao and so hapo...
Mwanajamiione....umeleta topic yenye majibu mengi kuliko maswali uliyotaka kusaidiwa, hii ni kutokana na ukweli kwamba hapa una-touch feelings za mtu kwenye love...and so is to say feelings zetu hazifanani:
well, inshort hayo yapo humu bongo kama huja-come accross them usijali, one day you...
Call me MUBELWA and not otherwise..
Was just my opinion bro...naona kama umemynd vile...like upo innocent kwa kukuchana live?so sorry, but labda usingeambiwa hili kama nisingesema leo!and opinons are raw materials for you to choose within.
umeshawamwagia ma contact yako na what you can do with their computer brother, Value your proffesional kaka mwenye shida akutwangie phone...ukipiga wewe inakuwa kibaya chajitembeza...JARIBU KUWA ACCESSIBLE MUDA MWINGI,ndio maana ya kutoa contact zako kwa public Mr.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.