Computer technician | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Computer technician

Discussion in 'Matangazo madogo' started by August_Shao, May 27, 2009.

 1. A

  August_Shao Senior Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Natengeneza Computer katika nyanja zote Software & Hardware
  Napatikana Maeneo ya Temeke Dar es salaam

  Servicing of pc: (price)

  Desktop checking & Service Tshs. 10,000/=
  Laptop checking & Service Tshs. 15,000/=

  Os installation Charges:
  Desktop & Laptops Tshs. 20,000/= Pirated copy of windows
  Tshs. 180,000/= Original copy of windows
  Website and Software Development as required by the customers price depends with requirments of customers.

  And a lot more of these similar work can be performed. and quality is my main goal to my customers.

  Please Contact us at:
  August J Shao
  P.O.Box 42196
  Dar Es Salaam
  E-mail: august_shao@yahoo.com
  Mobile: +255 762 923711
  +255 719 185092

  Just give me Misscall and I will call back. I am also a Mobile technician which means I will come at home or site for any call you made if request.
  I am well trained as I am Holder of Bachelor Degree in Computer Application from Symbiosis International University. Please verify this info from the School website. Symbiosis International University as my degree certificate no. 004919.
   
  Last edited: Jun 4, 2009
 2. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tumekupata.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hata hizo hapo juu kwenye wekundu unawakwanjua watu tenga 10?!! Tukiwa hivyo wengi nchi yetu itafika kweli?.... Invisible kwa zile zote anazotutonya humu tutungue si angeshakuwa billionea sasa?! Hata hili tangazo Admin hachelewi kukuomba laki 2... lakini kwa uungwana naona limeachwa hapa.

  Zifyatue mkuu na gawia watu hizo bure na kuwaonya watajiju wenyewe!!!!!! - may be in that way watarudi kwako na kuweza kuwacharge kihalal kwa services kana kufanya hivo utaona ni vyema pia!!!!! :(
   
 4. A

  August_Shao Senior Member

  #4
  May 28, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Poa kutokana na ushauri wa wana jf......Pirated nitafanya bure tu at your own risk.....ila kama mtu atataka ni itwick kidogo na kuifanya isiwe rahisi kwa microsoft kuiona then nita mchaji kidogo kam Tsh. 3,000/= tu. Maana kuna ujanja wa kuzifanyia na zinadunda tu.
   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  May 28, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu acha kutumalizia vijisent vyetu kwenye simu.Ume-divert namba yako ya tiGO tukikupigia tunaambiwa "simu unayo piga kwa sasa haiwezi kukamilishwa tafadhali jaribu tena baadae"huku vijisent vina kwenda,kama umeamua kufanya biashara make sure mawasiliano uliyo ya toa 24 hr yana fanya kazi namna hii unatupa usumbufu,mwishoe tukawa na wasi wasi hata na utendaji kazi wako.
   
  Last edited: May 28, 2009
 6. A

  August_Shao Senior Member

  #6
  May 28, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  aaaaah ndugu we ni beep tu hata kwenye namba ya voda.... mimi nitapiga mwana
   
 7. m

  mubelwa Member

  #7
  May 28, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeshawamwagia ma contact yako na what you can do with their computer brother, Value your proffesional kaka mwenye shida akutwangie phone...ukipiga wewe inakuwa kibaya chajitembeza...JARIBU KUWA ACCESSIBLE MUDA MWINGI,ndio maana ya kutoa contact zako kwa public Mr.
   
 8. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #8
  May 28, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  thx,mbelwa
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  safi august ndio ujasiriamali...
   
 10. A

  August_Shao Senior Member

  #10
  May 28, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Poa Man ila was trying kumridhisha mteja ........ as you to find Customers is hard and to loose them is easily......
   
 11. m

  mubelwa Member

  #11
  May 28, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Call me MUBELWA and not otherwise..
  Was just my opinion bro...naona kama umemynd vile...like upo innocent kwa kukuchana live?so sorry, but labda usingeambiwa hili kama nisingesema leo!and opinons are raw materials for you to choose within.
   
 12. m

  mubelwa Member

  #12
  May 28, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawewe huna kiswahili cha haya ulokopyi kwenye tenzi za rohoni!....jokin budy..well, it's
  awesome phrase and let the wiser like you assimilate it.
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yo Yo
  Yo Yo is high on weed
  JF Senior Expert Member
   
 14. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mimi sikushauri ufanye bure (How much is your time worth?). Labda kama kazi ya Installation anafanya mteja mwenyewe. Ikiwa mteja amelipia tuseme 20,000/- kwa kazi ambayo tayari umemfanyia (hardware related), then it make sense kumwekea Windows bure.

  By the way, nimependa tangazo lako. Inaonyesha wewe ni mtu wa kazi na kwamba umedhamiria hata ufanye pia mobile office. Hongera sana.
  Mi ntakupigia debe bwana, maana kesho na keshokutwa utaweza kulipia matangazo yako hapa JF.
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  yah man blueberry yum yum.....gotta love this
   
 16. K

  KyelaBoy JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2009
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tutakuja kukuona Shayo huo ndio ujasiriamali lazima tukuunge mkono mtu wetu,na kukuunga mkono ni kwa washahili kukuletea kazi badala ya kuwapelekea wadosi,ila nasikitika wanaotaka utoe bure eti kisa ni pirated ,mbona wadosi huko kariakoo na kwenye maduka yao wanatoza 30,000.00 na hakuna anayelalamika,tuache hizo waswahili wenzangu,bure iwe ni kwa mswahiri kwa wadosi unatoa hele kama kondoo na husemi hiyo mbona pirated?
   
 17. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  "Tunapatikana Maeneo ya Temeke Dar es salaam"?*?
  Hapo ulipo hamna mtaa wala namba ya nyumba?au unapendela kuwa "... am also a Mobile technician which means I will come at home or site......"

  Jamani huyu bwana kweli yuko serious?CD ni Tshs 500@ na kweli tukipiga mstari watu 5 kila siku si baada ya mwezi utarudi kwenu?Au una maana utawapa bure wao wakajifanyie installation?
   
 18. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Tutakutafuta soon.....ngoja tufukue vimeo vyetu hasa laptop...maana hakuna mafundi wazuri kivile tunaowajua ...wengine doo very expensive...
   
 19. A

  August_Shao Senior Member

  #19
  May 29, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kufanya installation tu..... ila kama unataka copy yako then hapo tutaongea vizuri zaidi....Pia msihofu maana nina collection ya softwares.....kwa wale Game lovers hapa ndo wamefika.
   
 20. SnEafer

  SnEafer Senior Member

  #20
  May 29, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  August_Shao, i'm very impressed on how you advertise your self ***i really liked that***,
  But you must understand that you are taking a risk posting here that you are one of the suppliers of pirated windows, You must understand that there ar few microsoft agents in town looking for guys like you, but their main target is big cumponies, but still why take a risk?
  Anyway i don't think its worth it mentioning clearly that you supply pirated windows and also you could do some tricks on it not to be seen by microsoft.
  These guys may not care if you supply pirated windows but they may be interested on how you are able to make it not to be seen by microsoft.

  Good luck in your business
  cheers
   
Loading...