Naomba mtu mwenye kujua gharama za kujifungua kwa upasuaji kwa Muhimbili ni kiasi gani?
Na ikitokea mtoto kazaliwa njiti process zinakuwaje za kumweka kwenye chupa? Na gharama zake zikoje? Naomba mwenye uelewa anisaidie.
Mimi jaman nimeaga rasmi kubeti maana this is too much nimeliwa mno hii miez miwili na stake naweka kubwa inauuma zaid
Miez miwili nimekula mara moja mkeka wa maana ule niliweka mia tano nikala mil 2 na kitu na zaid labda hizii za live ndo unakula ila nimekuwa nikiweka mikeka midogo ya odds 2-5...
Usiende play store nenda kwenye web direct tumia safari kama una apple au web iliyoko kwa sm yako inaplay vzr ukiangalia kwa internet live kuliko kwa app
Mimi live alipigwa goli nikacheza live mkeka wa kwanza nikaweka 50k nashinda 90
Nimekaa dak zinaendda odd zikapanda nikaweka tena 100k apaate goli mbili nashinda 300 na ushee
Dak ya 90 wako 1-1 nikacash out mkeka mmoja nikarudisha 100k niliyobet si wakapiga cha pili so nimeshinda ule mdogo wa 90...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.