Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM.
Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily?
Uwinga saivi hali si shwari.
Habari za wakati huu,
Waswahili husema penye wengi pana mengi.
Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
Sijui kwa nini watu wanachuki na uislamu! Na unakuta mtu hana hoja ya maana basi tu ni kufikiri kwa matamanio na kukurupuka,
Anyways Kila mtu na maisha yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.