Recent content by Mtzed Wakiafrika

  1. Mtzed Wakiafrika

    Uzi wa kuelimishana: Tuepuke matumizi mabaya ya mtandao

    Watumiaji wa mitandao hii.. wewe na mimi....[ watumiaji wa internet ], pia piga kura yako tuchanganue je tunalijenga Taifa la Tanzania au tunabomoa sura yetu katika nchi za kigeni na watalii?
  2. Mtzed Wakiafrika

    Uzi wa kuelimishana: Tuepuke matumizi mabaya ya mtandao

    Kutoa habari zisizo za ukweli na uhakika, Watumiaji mbalimbali huposti taarifa zisizo za ukweli na nyingine zakichonganishi kutokana na kutokujali matokeo ya taarifa hizi. Wengine hata kulipwa na kushawishiwa na vyama gombea kueneza sifa mbaya juu ya serikali iliyopo madarakani. Hapa utaona...
  3. Mtzed Wakiafrika

    Uzi wa kuelimishana: Tuepuke matumizi mabaya ya mtandao

    Je tunajenga au tunabomoa? Pia sio mpenzi wa siasa bali napenda kusoma habari mbalimbali mitandaoni, pindi nikutanapo na hoja zakuchafua sifa nchini kwangu inanikwanza, ukizingatia na tafuta sana scholarship nikasome huko nje ya nchi sasa najiuliza hao watoa scholarship wanaionanje Tanzania? Na...
  4. Mtzed Wakiafrika

    Uzi wa kuelimishana: Tuepuke matumizi mabaya ya mtandao

    Kutoa habari zisizo za ukweli na uhakika, Watumiaji mbalimbali huposti taarifa zisizo za ukweli na nyingine zakichonganishi kutokana na kutokujali matokeo ya taarifa hizi. Wengine hata kulipwa na kushawishiwa na vyama gombea kueneza sifa mbaya juu ya serikali iliyopo madarakani. Hapa utaona...
  5. Mtzed Wakiafrika

    Swali: Vijana wenzangu hivi kwanini hamumpendi Makonda?

    Anamek meki headline sio hatumpendi bali anamambo/ vijimambo daily, Hivyo kutokea mara kwa mara na hivyo jina lake kutukaa kwa uwepesi zaidi midomoni mwa watu... Huwezi jaji tunampenda/ kumkubali au kumchukia kwa kiasi gani ...ila ni style flani kama angekuwa muigizaje tungesema star wa headline...
  6. Mtzed Wakiafrika

    Rais Magufuli, hawa watu wako TRA wanachokifanya utachukiwa milele

    Tujuze wenzako tunalipia kila mwaka hizo account namba tuziweke hadharani, Tusaidiane wafanya biashara tunapenda kuendelea lakini hawa watuKodi wanatukomoa!
Back
Top Bottom