Recent content by Mtzd bk

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marehemu hasemwi ila Hayati Magufuli haya ndio mabaya uliyotuletea japo una mazuri yako

    Mkuu wewe unaitumia akili yako vizuri sio wale fata upepo
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

    Huyu hajawahi kunyooka ni chuki kwa JPM na alikuwa anatumia nguvu kubwa Sana kwenye vitu visivyo na msingi... angekuwa amenyooka angeweza ku maintain , sasa hivi ni chawa mwaminifu, anakemea waandamaji, anadai kususia uchaguzi ni dhambi watu ajitokeze kupiga kura..... Tapel kabisa Nahisi ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Rusaganya: Viongozi wa dini nyingine mnaotoa matamko kuweni na adabu! Kwanini kila Rais anapokuwa muislamu mnatoa matamko?

    H Huyu hajawahi kunyooka ni chuki kwa JPM na alikuwa anatumia nguvu kubwa Sana kwenye vitu visivyo na msingi... angekuwa amenyooka angeweza ku maintain , sasa hivi ni chawa mwaminifu, anakemea waandamaji, anadai kususia uchaguzi ni dhambi watu ajitokeze kupiga kura..... Tapel kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulia kuanza kupata mafao kama Spika Mstaafu, sasa ni mbunge na bado hajateuliwa kuwa Waziri! Halafu bado kuna mtu hataki mabadiliko!

    Vijana wana achishwa kazi.... Wakienda psssf/ nssf.... Wapewe mafao yao kama mtaji waanze biashara...... Wanaambiwa wasubiri miaka miwili....inasikitisha sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Polepole ni Honey Pot ya wasiojulikana?

    Yawezekana hiyo ni tactic ya kuwatisha watekaji na kuwanyima uhuru wa kafanya wanavyo taka....sasa hivi huenda wanaogopa wanahisi wanafatiliwa pia...... Nasaport kaka mtu alichokifanya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mambo yanabadilika kwa kasi sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    ✔️✔️✔️Pigia mstari
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Kweli John pamoja na kuwa na backup kubwa ya wafuasi.kipindi Cha campaign alionekana umenyong'onyea kiafya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Komred Yuko Salama salmini. Ughaibuni........ Sisi inatubidi tukoment kwa kutumia codes😅😅😅😅
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Mwangoswi aliuliwa lini mikononi mwa kina nani, je ilikuwa usiku au mchana kweupe watu wanashuhudia? Na Dr ulimboka aling'olewa meno wakati gani ? Kubenea alimwagiwa tindikali wakati gani?..... Mkuu legacy ya magu haiwezi chafuliwa na wanasiasa uchwara wanaokuaminisha Mambo yao, lakini wakikosa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    We kama sio mtekaji... Basi nyumbu wa mbowe.......
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

    Weka kumbukumbu zako vizuri..... Gwaji kipindi hicho Kila wiki alikuwa na press umesahau issues za vyeti na clouds media??
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

    Mkuu mijitu kama hii ndo mbowe alikuwa anaitumia karibu CDM Yani imekaririshwa, ....... Haijui kuwa pia CCM wapo pia watu wazalendo.wapenda haki, na hapendi jinsi Mambo yanavyo endeshwa kwa Sasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nadhani Watanzania wote mmeshajua wapi Mbowe alikuwa akitoa hela za kuisapoti CHADEMA

    Niliwahi sema adui mkubwa wa upinzani nchi hii ni mbowe.... Nikawambia anaye subiri/ taraji mabadiliko kupitia mbowe ni sawa na anaye subiri nguruwe kuota mabawa( when pigs fly)......niliambulia matusi hasa
Back
Top Bottom